Sunday 29 September 2013

Re: [wanabidii] Fwd: [TAFESAssociates] Ya Westgate Kenya yalitabiriwa tangu mwaka jana

Fadhili,

Bi watu wangapi au serikali ngapi huwa zinaamini kinachosemwa na watumishi na kukifanyia kazi? Sisi wakristo tumekua wa kwanza na mstari wa mbele kukosoa na kukashifu watumishi na baadhi yetu tukiwa ma-expert wa uchambuzi wa uhalisia wa unabii au kauli za watumishi wa Mungu..Tunajengea watu wasioamini kuwa watumishi sio watu wa kuamini...na ule mstari wa kupima unabii umepewa uzito na umuhim kuliko mingi inayowatambua na kazi zao.

Sasa kama sisi wenyewe hatuwaamini watumishi wa Mungu ni ngumu kutegemea serikali tena ambazo haziongozwi kwa kiimani ziwasikilize watumishi wa Mungu

Enzi zile setu za ujana pamoja na kina Mwidimi, Masuki, Bupe, Kajeguka, Msela, Dr. Grace Kazoba na wazee wengine tulioko huku, sio tu tulikua tunaheshimu watumishi na maelekezo yao bali ndani ya fellowship zetu za wanafunzi tulikua tunaheshimi nabii zilizokua zinatolewa na wenzetu miongoni mwetu tukiamini Mungu anasema. Siku hizi hatuamini tena kuwa Mungu anaongea na kila anayemwamini..hivyo tumegeuka kuwa wachambuzi wakosoaji. Kwa mfano unabii huu tungeweza kuhoji kuwa kwa nini hakutamka ni Alshababu...au kwa nini hakusema kabisa ni Westgate kama aliona kweli? Eneo la kufanya marketing ndio lipi hilo?






On Sun, Sep 29, 2013 at 9:05 PM, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
hao waliotangulia kuiona wangetusaidia kuzuia kama kweli walikuwepo

On 9/29/13, Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com> wrote:
> This is incredible, God always speaks through His prophets much as in most
> cases we human beings, do not appreciate but this is kind of evidence that
> God cares and He is in control of any situation on earth. I do not ow much
> such prophecy has been relayed to the Kenyan leaders, I wish that our
> present day rulers could depend on the word from the mouths of God's
> Prophets that engaging themselves with divination, palm reading and
> witchcraft. The leaders who are after God's heart would always seek to now
> the will of God before making major decisions something that we miss in our
> days that is why so many evil things do surround our present generation
> leadership. Dear God, please have mercy on this evil generation.
>
> Ken
>
> Sent from my iPad
>
> Begin forwarded message:
>
>> From: "akarokola@yahoo.com" <akarokola@yahoo.com>
>> Date: 29 Septemba 2013 0:22:20 GMT +03:00
>> To: TAFESAssociates@yahoogroups.com
>> Subject: Re: [TAFESAssociates] Ya Westgate Kenya yalitabiriwa tangu mwaka
>> jana
>> Reply-To: TAFESAssociates@yahoogroups.com
>>
>> Kweli wapo manabii wa nyakati, shida ndio ile "wana masikio lakini
>> hawasikii" Mungu atusaidie tujue la kufanya kwa wakati.
>> Karokola
>>
>> Sent from my HTC
>>
>>
>>
>> ----- Reply message -----
>> From: "Mathew Mndeme" <mathewmndeme@gmail.com>
>> To: "TAFES Associate" <TAFESAssociates@yahoogroups.com>
>> Subject: [TAFESAssociates] Ya Westgate Kenya yalitabiriwa tangu mwaka
>> jana
>> Date: Sat, Sep 28, 2013 10:11 pm
>>
>>
>>
>> Wandugu,
>>
>> Wako waliotangulia kuliona la Westgate Kenya ... This it wasn't the
>> "highly critisized Minister" from Lagos, but a young stylish Prophet from
>> Zimbabwe..Prophet Uebert Angel.
>>
>> He is what he said consistently within one year before the happening of
>> the siege.
>>
>> http://www.youtube.com/watch?v=Sj4Q8yLfZUc
>>
>> In case ulikua humjui/hujawahi msikilia, unaweza mfuatilia hapa:
>> https://www.facebook.com/ProphetUebertAngel
>>
>> Na undani wa huduma yake hapa:
>> http://www.spiritembassy.org/about_prophet_uebert_angel.php
>>
>> MM
>>
>>
>> __._,_.___
>> Reply via web post                            Reply to sender
>>               Reply to group                         Start a New Topic
>>      Messages in this topic (1)
>> RECENT ACTIVITY:
>> Visit Your Group
>> Switch to: Text-Only, Daily Digest • Unsubscribe • Terms of Use • Send us
>> Feedback
>> .
>>
>> __,_._,___
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment