Saturday 28 September 2013

Re: [wanabidii] MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA YAFUNGIWA

Kwa mtindo huu wa kutojua kipi ni kibaya na kizuri (everything has
become grey) itabidi kuanzishwe masomo mapya kwenye silabus zetu kama
hermeneutics so that people understand and interpret well linguistic
and non-linguistic expressions. including analysis and textual
criticism. Otherwise, we'll continue making blunders like killing a
fly with bomb. Elimu yetu imetudumaza hata hatuwezi tena kusoma na
kuelewa kilichoandikwa. Tumebakia tu kudhani mwandishi ameandika
vibaya!

On 9/28/13, weston mbuba <matutetz@yahoo.com> wrote:
>
> Matumizi ya neno uzalendo yanapotolewa na waongozi wetu yanaleta ukakasi,
> kichefuchefu, ugwadugwadu na uzimbwezimbwe. Wanasisitiza uzalendo ilhali wao
> ni majahili wakubwa. Kufungia gazeti ni mtindo wa kizamani na wa tawala
> dhalimu na za kishenzi. ------------------------------ On Sat, Sep 28, 2013
> 07:57 PDT Abdalah Hamis wrote: >*MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA
> YAFUNGIWA > >* >Serikali imeyafungia kutochapishwa Magazeti ya MWANANCHI na
> MTANZANIA >kuanzia 27 Septemba, 2013 kutokana na mwenendo wa magazeti hayo
> kuandika >habari na makala za uchochezi na uhasama kwa nia ya kusababisha
> wananchi >wakose imani kwa vyombo vya dola hivyo kuhatarisha amani na
> mshikamano >ulipo nchini. > > >Gazeti la MWANANCHI limefungiwa
> kutochapishwa kwa siku kumi na nne(14) >kuanzia 27 Septemba,2013.Adhabu hii
> imetangazwa kwa *Tangazo la >Serikali(Government Notice )Namba 333 la
> tarehe 27 septemba,2013. >* >Gazeti la MWANANCHI limepewa adhabu hiyo
> kutokana na hivi
> karibuni >kuchapisha habari zenye mwelekeo wa uchochezi na uvunjifu wa
> amani, mfano >tarehe 17 Julai, 2013 katika toleo Namba 4774 ilichapisha
> habari isemayo >"MISHAHARA MIPYA SERIKALINI 2013" kwa kuchapisha waraka
> uliozuiliwa kwa >matumizi ya vyombo vya habari waraka huo ulikuwa wa Siri
> haukupaswa >kuchapishwa Magazetini. > >Aidha, katika toleo la Jumamosi,
> tarehe 17 Agosti,2013 lilichapisha habari >yenye kichwa kisemacho "WAISLAM
> WASALI CHINI YA ULINZI MKALI" habari hiyo >ilikolezwe na picha ya mbwa
> mkali mwenye hasira. > >Habari na picha hiyo ilitoa tafsiri ya kuwa Jeshi la
> Polisi lilipeleka Mbwa >katika maeneo ya ibada ya waumini wa dini ya
> kiislam. Jambo ambalo halikuwa >la ukweli. > >Jeshi la Polisi katika doria
> siku hiyo halikupeleka mbwa katika maeneo ya >Misikiti. Serikali na jeshi
> la Polisi linaheshimu na kuzingatia maadili ya >dini ya Kiislamu na kwa
> hiyo Jeshi lake hakiwezi kupitisaha au kuingiza >mbwa katika maeneo ya
> ibada. > >Hivyo basi,kwa gazeti hili kuchapisha habari iliyokolezwa na
> picha ya mbwa >ni uchochezi wa kulichonganisha Jeshi la Polisi na waumini
> wa dini ya >kiislam mbwa ni najisi hapaswi kuingia katika maeneo ya ibada.
>> >Gazeti la MTANZANIA limefungiwa kutochapishwa kwa siku tisini(90) kuanzia
> >tarehe 27 Septemba,2013 kwa kuchapisha habari zenye uchochezi. > >Gazeti
> hili limeonywa mara nyingi lirekebishe mtindo wake wa uandishi wa
>>kichochezi na lizingatie maadili na Sheria na Kanuni za fani ya Habari. >
>>Pamoja na kuonywa gazeti hili halikuonyesha kuzingatia maelekezo ya Msajili
> >wa Magazeti, mfano ;katika toleo na 7262 la 20 Machi,2013 liliandika
> habari >yenye kichwa kisemacho "URAIS WA DAMU",tarehe 12 Juni,2013,toleo
> Namba 7344 >lilichapisha makala isemayo "MAPINDUZI HAYAEPUKIKI". > >Aidha,
> siku ya Jumatano,tarehe 18 Septemba,2013 katika toleo Namba 73414 >ukurasa
> wa mbele lilichapisha Kichwa cha habari kisemacho "SERIKALI YANUKA
> >DAMU" taarifa hiyo ilikolezwa na picha zilizo unganishwa kwa ustadi mkubwa
> >kwa kutumia kompyuta kutapakaza rangi nyekundu mithili ya damu nyingi
>>kumwagika. > >Katika habari hiyo gazeti hilo limedai bila uthibitisho kuwa
> Jeshi la >Polisi linahusika na wahanga waliomizwa na watu wasiojulikana kwa
> kumwagiwa >tindikali na waliyovamiwa na kujeruhiwa vibaya. > >Vile vile
> gazeti hilo limeishtumu serikali kuwa goigoi katika kushughulikia >matukio
> yenye sura ya kigaidi. > >Kwa ujumla wake habari hiyo ni ya kichochezi ina
> lengo la kuwafanya >wananchi wavichukie vyombo vya ulinzi na usalama
> wavione kuwa haviwasaidii. > >Kutokana na makosa yalitajwa hapo juu serikali
> imelifungia gazeti la >Mtanzania kutochapishwa kwa muda wa siku tisini(90)
> kwa *Tangazo la >Serikali Namba 332(Government Notice No.332) la tarehe 27
> Septemba, 2013,. >* >Serikali inawataka wamiliki,wahariri na wanahabari kwa
> ujumla kuwa >makini,kuzingatia weledi,miiko na madili yataaluma
> uandishi wa habari. > >Serikali inawataka wamiliki na hasa wahariri
> kuhakisha kuwa habari >wanazoziandika na vipindi wanavyoviandaa
> vinazingatia taaluma,kuweka mbele >maslahi ya taifa letu kwa kuwa na
> uzalendo wa hali ya juu. > >Serikali inavionya vyombo vya habari
> vinavyoutumia uhuru wa habari bila >wajibu kuwa haitasita kuvichukulia
> hatua kali ikiwemo ya kuvifungia. >Serikali haitakubali kuona vyombo vya
> habari kuwa chanzo cha uvunjifu wa >amani nchini. > >Imetolewa na > >
>>*MKURUGENZI IDARA YA HABARI* >*WIZARA YA HABARI,VIJANA, UTAMADUNI NA
> MICHEZO* >*28 SEPTEMBA,2013* > >-- >Send Emails to
> wanabidii@googlegroups.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership
> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
> Rules and Guidelines. >--- >You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >To unsubscribe from this
> group and stop receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment