Sunday 29 September 2013

Re: [wanabidii] OPERESHENI KIMBUNGA YAHAMIA MAOFISINI

Yona,
Hawa watu wa uhamiaji huwa wanakwenda mara kwa mara kwenye ofisi za makampuni binafsi lakin huwa hawawakamati hao wahamiaji haramu hata mara moja.Huishia kuchukua hela kutoka kwa maofisa wa uajiri au utawala wa kampuni hizo binafsi.Naona operssheni ndio itakuwa kipindi cha neema kwa maofisa hao wa uhamiaji.

Nawaza tu kimya kimya

On Fri, Sep 27, 2013 at 8:29 PM, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Ndugu zangu 

Operesheni Kimbunga ambayo ina lengo la kukamata wahamiaji haramu nchini imeingia rasmi kwenye ofisi mbalimbali zile za serikali na watu binafsi .

Mnapoona watu wa uhamiaji wanapofanya shuguli zao tafadhali wapeni ushirikiano wa mali na mali .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment