Haya basi !!!! Sasa watuletea hoja bandia. A total false argument.
Yona,2013/9/9 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Hata hivyo kenya Ni nchi huru kama ilivyo israel na marekani ambazo haziko kwenye mkataba huu wa roma na wanaendelea kudunda sasa kwanini tuweke rehani uhuru wa kenya kwa nchi nyingine ?Na kwanini hamtaki kuongelea hilo la katiba mpya ya kenya na hili la ICC ?
Labda watuambie kuna kitu wanataka kenya .On Mon, Sep 9, 2013 at 12:35 PM, Clement Oginga <cloginga@gmail.com> wrote:
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "WANAKENYA" group.Naam Kaka Herment, naam.
Ahsante sana ; umenena ukweli. Kama ni Odinga aliyeshtakiwa bunge la Kenya halingeanza huu muswada wa kujiondoa kutoka kwenye huo mkataba wa Roma. Unavyoliita usanii, nami ninavyoliita.
--2013/9/9 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Mahakama ya ICC ni muhimu sana na inatakiwa. Kinachofanyika Kenya ni usanii wa hali ya juu ambao umejaa unafiki, ubinafsi, na ujinga mwingi tu kwani hawa wabunge hawafanyi hivyo (kujiondoa kutoka ICC) kwa nia njema. Kama Odinga ndio aliyekuwa mahakamani hao wabunge wa Jubilee wangetunga sheria ya kujitoa? Waafrika inabidi tuache unafiki kwani tunageuka kuwa kituko na ndio maana hatuheshimiani na hatuheshimiwi.
Tutafakari
Herment
Date: Mon, 9 Sep 2013 05:04:32 -0400
Subject: Re: [wanabidii] Re: NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC
From: cloginga@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
CC: wanazuoni@yahoogroups.comAfrica will be making a very big mistake by quitting the Rome Statute / ICC process.ICC is not against Africa. It's Africa that is committing the most Crimes Against Humanity and that's why most cases at the ICC are from Africa. If we pull out of the ICC, we'll be back to the 1970s and 1980s where our leaders can just slaughter us at will and then go to their OAU/AU annual meetings and celebrate their ubingwa.Yona,You have worked for the Uhuru/Jubilee campaign in Kenya so I'm not surprised kwamba you're supporting that stupid move by the Kenyan Parliament.
2013/9/9 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
Tusisahau pia hapa tanzania tuko kwenye mchakato wa katiba mpya ni vizuri kuangalia masuala ya kimataifa kama haya yaelezwe kabisa kwenye katiba kwa maslahi ya nchi hii na watu wake - haitakuwa busara watanzania kushtakiwa nje ya nchi .
On Monday, September 9, 2013 11:49:32 AM UTC+3, Yona Fares Maro wrote:Ndugu zangu ,Pamoja na kwamba siungi mkono vurugu zilizotokea nchini Kenya mwaka 2007 baada ya uchaguzi hii isiwe sababu ya mie kuunga mkono hii mahamana ya kimataifa ya ICC na mkataba wao wa ROMA .Ndugu zetu jirani zetu wa Kenya wameamua kujiondoa kwenye mkataba huu wa roma na kusisitiza kwamba wakati wanaingia kwenye mkataba huo hakukuwa na katiba ya sasa na mambo mengi zaidi ya kikatiba hayakufuatwa kwahiyo wameona bora wajiondoe .Mie naungana na wakenya naunga mkono nchi ya jumuiya ya afrika mashariki kuamua kujiondoa kwenye mahakama hii , inapaswa kesi zinazohusu mwanachama wa jumuiya zishugulikiwe na mahakama za jumuiya au zile za umoja wa afrika haipaswi kwenda zaidi ya hapo .--Find Jobs in Africa Jobs in AfricaInternational Job Opportunities International Job OpportunitiesJobs in Kenya Jobs in Kenya
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.--

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanakenya+unsubscribe@googlegroups.com.--Find Jobs in Africa Jobs in AfricaInternational Job Opportunities International Job OpportunitiesJobs in Kenya Jobs in Kenya--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment