Monday, 9 September 2013

[wanabidii] RE: [Wanazuoni] NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC

Je wajua huu muswada ulipitishwa bila ya wabunge wa CORD (chama cha upinzani) baada ya wabunge hao ku-walk out in protest? Je utaunga mkono muswada kama ule uliopitishwa majuzi huku wapinzani wameususia? Just asking!

 

Regds,

Salim.

 

From: Wanazuoni@yahoogroups.com [mailto:Wanazuoni@yahoogroups.com] On Behalf Of Yona Maro
Sent: Monday, September 09, 2013 11:50 AM
To: wanabidii; Wanazuoni
Subject: [Wanazuoni] NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC

 

 

Ndugu zangu ,

 

Pamoja na kwamba siungi mkono vurugu zilizotokea nchini Kenya mwaka 2007 baada ya uchaguzi hii isiwe sababu ya mie kuunga mkono hii mahamana ya kimataifa ya ICC na mkataba wao wa ROMA .

 

Ndugu zetu jirani zetu wa Kenya wameamua kujiondoa kwenye mkataba huu wa roma na kusisitiza kwamba wakati wanaingia kwenye mkataba huo hakukuwa na katiba ya sasa na mambo mengi zaidi ya kikatiba hayakufuatwa kwahiyo wameona bora wajiondoe .

 

Mie naungana na wakenya naunga mkono nchi ya jumuiya ya afrika mashariki kuamua kujiondoa kwenye mahakama hii , inapaswa kesi zinazohusu mwanachama wa jumuiya zishugulikiwe na mahakama za jumuiya au zile za umoja wa afrika haipaswi kwenda zaidi ya hapo .

 

 

--

Find Jobs in Africa Jobs in Africa

International Job Opportunities International Job Opportunities

Jobs in Kenya Jobs in Kenya

 

__._,_.___

Reply via web post

Reply to sender

Reply to group

Start a New Topic

Messages in this topic (1)

Recent Activity:

·         New Members 1

.

__,_._,___

0 comments:

Post a Comment