Wednesday, 24 July 2013

Re: [wanabidii] Machumu ateuliwa kuwa Mhariri Mtendaji MCL

Nami nichukue nafasi hii kumpongeza ndugu Machumu kutokana na uwezo na utendaji wake kwani nimefanya naye kazi huko zamani nikiwa serikalini, alitusaidia sana katika utekelezaji wa majukumu ya kitaalam. Basi nafikiri uteuzi wake utaboresha shughuli zake za uhabarisho fairily and squarely..... Bakari keep it up!!!!

Eng A. B. Kowero

ICT Advisor

From: anicet sambala <anysambala@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, 25 July 2013, 8:58
Subject: Re: [wanabidii] Machumu ateuliwa kuwa Mhariri Mtendaji MCL

Nachukua nafasi hii kumpongeza sana Ndugu Machumu kwa uteuzi huu. Naamini hii ni kutokana na utendaji kazi wake mzuri. Nimesoma naye huyu bwana hivyo nafahamu uwezo wake na naamini atafanya vema. Tumkaribishe

From: Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, July 24, 2013 2:10 PM
Subject: Re: [wanabidii] Machumu ateuliwa kuwa Mhariri Mtendaji MCL

Comrade Magessa;
Naomba ufafanuzi kdg kuhusu neno lako la mwisho 'tujadili' unamaanisha nini?
   1. Tujadili uteuzi wake?
   2. Tujadili elimu yake ya KILIMO katika fani ya upashanaji habari?
   3. Tujadili kama anakubalika kujiunga na jukwaa a) la Wanabii au   b) Jukwaa lenu la Wanahabari?

Reuben

From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, July 24, 2013 1:17 PM
Subject: [wanabidii] Machumu ateuliwa kuwa Mhariri Mtendaji MCL

Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi leo kuwa aliyekuwa mhariri wa
gazeti la citizen bw. Bakari Machumu sasa anakuwa Mhariri Mtendaji wa
Magazeti ya MCL. Tumpongeze na tumkaribishe mabadiliko. Meena
tafadhali mkaribishe jukwaani.
Elimu yake ni digrii ya sayansi ya KILIMO aliyoipata SUA!, tujadili

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment