Tuesday 30 July 2013

[wanabidii] tuwekeze mtwara

dear all.
nipo mtwara kwa sasa, kuna opportunities kibao za uwekezaji hapa jamani, acheni kukomaa na dar.
Hata hivyo dar kuna vitu hivi kwa anetaka
1 Bar/guest ya kupanga ipo mbezi mwisho jirani na shule ya msingi mbezi...bei m 1.6 kwa mwezi na maongezi ruksa
2: Nyumba ya kisasa sana inauzwa ipo tandale jirani na shule ya wajapan na hotel ya mtanzania ina vyumba 5 zote zina a/c , kuna fence ya ukuta na electric wire, maji na parking nzuri, sebule la kisasa nk...modern house...anauza haraka bei m 100 top selling price haishuki labda kiduchu sana. call me soon for more details, hii ukikubaliana na mimi tu hakuna atakaekuzuia tena.
3: plots, mashamba, majumba/nyumba tunazo za bei tofaut tofauti maeneo mbali mbali...karibuni sana
4: Nyumba za bei nafuu tabata segerea m 50 tu zipo tofaut tofaut za kisasa pia zinauzwa
5 Ghorofa la kisasa tu lipo masaki mbuyuni bei usd laki 4 tu, inauzwa haraka
6: Tunauza pia na kukodisha au kupangisha yard/ magodown seehem mbali mbal jijini dar na ars



Atakahitaji jamani anipigie au anitumie ujumbe tu au email
Lesian mollel
ALJ Gen Co ltd
Box 26276
Da r es laaam
cell +255 652 31 41 81

0 comments:

Post a Comment