Monday 29 July 2013

[wanabidii] Video Kutoka Kipindi Cha Makutano Show na Fina Mango:Mbunge wa Iringa Mjini-Chadema,Mchungaji Peter Msigwa Afanya Mahojiano na Kipindi Cha Makutano Show Nakusema:'' Tanzania Si Mali ya CCM Wala Chadema'''.

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Tanzania sio mali ya chama chochote cha siasa wala kundi lolote la watu wakati akihojiwa katika kipindi cha Makutano na Fina Mango. Mheshimiwa Peter Msigwa alitoa kauli hiyo alipoulizwa anaonaje mwamko wa kufanya mabadiliko unaoendelea ikiwemo mchakato wa katiba mpya.
Video na maelezo zaidi
http://goldentz.blogspot.com/2013/07/video-kutoka-kipindi-cha-makutano-show.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment