Monday, 29 July 2013

[wanabidii] KUZIMA SIMU

Wandugu,
Kama mmesahau huu ni muda wa kuzima simu na kuchomoa laini kabisa kwa mujibu wa maombi ya kushinikiza kufutwa kodi ya laini za simu.
Nakumbusha wadau,
Marc6

0 comments:

Post a Comment