Wednesday 31 July 2013

Re: [wanabidii] MTWARA, VIJANA WANNE WATEKWA WAPELEKWA KAMBI NDOGO YA JESHI YA UMOJA KWA MATESO

Mimi
Sishangai wameshaamriwa piga ua sasa hivi wananchi wanakula vichapo kila mahali
Ukibishana na trafiki barabarani  dereva unapewa kichapo
Ukileta jeuri gerezani unapewa kichapo
Ukikamatwa na polisi ukawa mbishi unapewa kichapo
Kila mahali sasa ni piga ua kichapo tu balaa hii

On Jul 31, 2013 5:42 PM, "lucas haule" <kisacha2003@yahoo.com> wrote:
Hamis Abdallah
Ongera kwa kuwasaidia vijana kutoka kwenye kambi huko Darfur.
Mimi naogopa sana mawazo yangu yasinipeleke kule ambako nimegoma kuwaza hivi kwa miaka yote.
Ebu nisubiri siku ya kuadhimisha tarehe ya kuzaliwa, nitasema kitu.
Maana mimi nimezaliwa mwezi na tarehe kama ya Harafat, na mwingine sikuji ni Obama! Lakini nitasema siku ikifika.

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, July 31, 2013 12:50 AM
Subject: Re: [wanabidii] MTWARA, VIJANA WANNE WATEKWA WAPELEKWA KAMBI NDOGO YA JESHI YA UMOJA KWA MATESO

Nasikia wanafanya mazoezi ya kupigana ili wapelekwe Darfur, Sudan Kusini na nchi majirani watakao tuchokoza. Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni. Hivi viongozi wetu wanafikiri kweli au ni wakurupukaji tu, askari jeshi anafanya mazoezi ya vita kwa kupigana na raia asiyekuwa na mafunzo wala silaa alafu utegemee kumpeleka kupigana na askari walioiva kivita? Hizi ni ndoto za mchana ata tukisema maneno gani ya ukali hayatasaidia kitu. Huko Mtwara munmetengeneza uhasama wa kudumu na subirini mavuno mtayaona tu. Ni vita gani utashinda wakati unajenga chuki kati ya raia na askari jeshi?  

2013/7/29 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Mh, mhuhu! Nchi ya amani na mfano wa kuigwa na nchi nyingine!

On 7/29/13, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
> askari jeshi waliowateka vijana hao wa 4, wamechukuliwa hatua gani?
> igp amechukua uamuzi gani kuhusu hao raia wengine wa 3 waliokutwa
> kambini? ushauri - hao askari inaonekana wanahamu ya kupiga basi
> wapelekwe kule msituni kagera wakateke maharamia na wawape kichapo.
>
> On 7/29/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>> Muda si mrefu IGP Mwema amenijulisha kuwa ofisi yake imeingilia kati.
>> Wale
>> vijana wanne wameachiwa huru mchana huu baada ya kuhojiwa na RCO.
>> Hawakupelekwa mahakamani.
>>
>> Namuomba mungu hivi sasa kila atakayekamatwa wakuu wa vyombo vya ulinzi
>> na
>> usalama watusaidie haraka, watimize wajibu wao.
>>
>> Nimeongea na mmoja wa vijana hao hivi punde, wanashukuru kwa juhudi za
>> kuwafuatilia, kijana huyo anasema kwamba hiyo jana walipofikishwa kambi
>> ya
>> UMOJA walikaa muda mfupi kisha wakapelekwa kambi ya NALIENDELE, anasema
>> hapo Naliendele wamepigishwa PUSH UP usiku kucha, anasema askari jeshi wa
>> NALIENDELE tangu jana usiku walikuwa wakiwahoji kuwa wao(vijana hawa
>> wanne)
>> ni ndugu za nani na kwamba kwa nini wakubwa wamezuia wasipigwe? Kijana
>> huyu
>> anasema yeye na wenzake hawajui kwa nini waliulizwa vile.
>>
>> Wanasema pale kambini wamewakuta wananchi wengine watatu ambao walikuwa
>> wakipigwa usiku kucha na hawawajui majina. Vijana hawa wamekoswakoswa
>> kubambikiziwa kesi kama kina Mketo walivyofanywa, hii ya sasa IGP
>> ametimiza
>> wajibu wake.
>>
>> Binafsi nitaendelea kupiga kelele dhidi ya mateso wanayopewa raia mahali
>> popote, bila kujali nitamgusa nani na bila kujali nitajiweka hatarini
>> kuwindwa kiasi gani.
>>
>> Nachojua ni kuwa, ifikapo mwaka 2100, watesaji na wateswaji wote watakuwa
>> hawapo dunia hii. Na kama kitu cha mwisho binadamu anachokiogopa ni kifo,
>> na kifo chenyewe hata siku moja hakina uzoefu, kwa nini tuwaogope
>> watishiao
>> na kuua miili wakati na wao watakufa siku moja?
>>
>> Tuijenge nchi yetu, tupambane ndani ya nchi yetu, tudai haki za wanyonge
>> bila kurudi nyuma.
>>
>> Nawashukuru wote ambao wamekuwa na mtizamo wa kweli wa kupigania haki za
>> wanyonge mahali popote pale walipo.
>>
>>
>> 2013/7/29 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>>
>>> MGAMBA,
>>>
>>> Usitegemee wazalendo wet wane mapungufu hayo. Kazi ya kwanza ya mzalendo
>>> yeyote ni kuuunga mkono serikali na rais wetu no matter
>>> what..............
>>>
>>> Yet macho. Ukarimu hauanzii nyumbani
>>> On 29 Jul 2013 11:57, "RICHARD MGAMBA" <rmgamba2000@yahoo.com> wrote:
>>>
>>>> Jeshi liko imara, tukichokozwa tutajibu. Kumbe huku nyumbani jeshi
>>>> linafanya kazi ya IGP Mwema? Katiba inaruhusu jeshi kutumika katika
>>>> matumizi kama ya Mtwara? Haya watu hawataki kujadili, ila wanashabikia
>>>> kauli za hatari za kupigana na majirani zetu. Kaazi ipo.
>>>>
>>>>    *From:* Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>>>> *To:* Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>>>> *Sent:* Monday, July 29, 2013 10:43 AM
>>>> *Subject:* [wanabidii] MTWARA, VIJANA WANNE WATEKWA WAPELEKWA KAMBI
>>>> NDOGO YA JESHI YA UMOJA KWA MATESO
>>>>
>>>> KONGAMANO LA AMANI UDSM LILILORUSHWA NA ITV LASABABISHA BALAA MTWARA,
>>>> VIJANA WANNE WATEKWA WAPELEKWA KAMBI NDOGO YA JESHI YA UMOJA KWA
>>>> MATESO.
>>>>
>>>> Unaweza usiamini haya yanatokea Tanzania au yanatungwa.
>>>> Nimemaliza kuongea na Mashuhuda wanne sasa hivi ambao wao wamenusurika
>>>> baada ya kuwa mita chache katika eneo la tukio.
>>>>
>>>> Makundi mbalimbali ya wananchi yalikuwa yanafuatilia Kongamano pale
>>>> Mtwara. Majira ya saa 11 jioni vijana waliokuwa kwenye Grocery iitwayo
>>>> KWATELELA(Glocery hii inaangaliana na lango KUU la mamlaka ya Bandari
>>>> Mtwara) walishangilia kwa nguvu kuunga mkono baadhi ya hoja
>>>> zilizotolewa
>>>> kwenye kongamano, karibu yao alikuwepo askari jeshi aliyevalia kiraia
>>>> ila
>>>> hawakujua hilo.
>>>>
>>>> Kongamano lilipokaribia kuisha, askari jeshi yule aliwatolea bastola na
>>>> kuwaweka chini ya ulinzi. Alipiga simu kuwaita wenzie na mara gari ya
>>>> jeshi
>>>> ilifika. Vijana wanne walichukuliwa muda huohuo na kupelekwa kwenye
>>>> kambi
>>>> ndogo ya jeshi ya UMOJA iliyopo Mtwara.
>>>>
>>>> Hadi sasa vijana hao hawajaachiwa, na haijulikani hapo kambini
>>>> wanafanywaje.
>>>>
>>>> Nimejaribu kumpigia waziri Nchimbi na simu yake inaita tu, IGP pia simu
>>>> zake zinaita tu, nimejaribu kuwatumia ujumbe mfupi. Nafuatilia pia
>>>> majina
>>>> ya vijana hao.
>>>>
>>>> Nchi hii inaelekea mahali kubaya sana, utawala wa sheria na kujali haki
>>>> za msingi za raia sasa umeshaporwa.
>>>>
>>>> J. Mtatiro.
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>>>  --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment