Tuesday 30 July 2013

[wanabidii] Re: [tanzanet] Tanzania kubadilishana wafungwa na Thailand? How many Thais do we have in our jails?

In exchange of mashamba and mafuta!

Sent from my iPhone

On Jul 30, 2013, at 3:38 PM, "John Nyoka" <mgosiwasui87@gmail.com> wrote:

Hata mimi nashangaa, labda tunao wafungwa wamadawa ya kulevya wa -Tanzania walioko Thailand na lazima watakuwa jamaa wa vigogo kama tulivyolazimishwa kuingia mkataba na Mauritius wakubadilishana wafungwa baada ya watoto wa vigogo kukamatwa na madawa ya kulevya huko.  Acha hawa wapiganji wa ngumu wa hivi karibuni, hii nizamani kidogo!

Afande..


2013/7/30 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
photo 21543
Mkataba wa kubadilishana wafungwa na Thailand ukiwekewa saini Ikulu leo. Naona wauza unga wetu waliofungwa Thailand wamepata ukombozi.
em


_____
LIST@tanzanet.org
List info (to subscribe or unsubscribe): http://tanzanet.org/mailman/listinfo/list_tanzanet.org


0 comments:

Post a Comment