Wednesday 31 July 2013

[wanabidii] Aljazeera wins EPL broadcasting rights formerly with Abu Dhabi Media

Kwa wale wapenzi wa mpira hasa ligi za Ulaya waloikuwa wanatazama EPL kupitia Abu Dhabi Sports wajipange kuhamia Aljazeera Sports ambao wameshinda broadcasting rights za EPL kwa kipindi mpaka 2016. Aljazeera wanaoonyesha ligi nyingi za Ulaya. Ikumbukwe kuwa beam za hawa jamaa zimelenga mataifa ya Kiarabu, lakini kwa vile zinapenya [paka huku, tunapata faida ya kuibia. Imagine kuangalia league zote za Ulaya mwaka mzima kwa $250.

Lutinwa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment