Sunday, 28 July 2013

Re: Re: [wanabidii] MACHAFUKO NCHINI MISRI HAYAKUBALIKI!

Swala la Misri ni tata na litawagarimu. RAIS aliondolewa baada ya kuuelemea uislam na watu karibu milion 2 kumpinga kwa maandamano. Jeshi likabadilisha uongozi watu karibu laki ngapi wanapinga. Mamlaka iliyopo chochote itakachofanya kitapingwa. Kuna kazi kweli.

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: kalaita chibaite <kchibaite@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, July 27, 2013 8:09:13 PM GMT+0100
Subject: Re: [wanabidii] MACHAFUKO NCHINI MISRI HAYAKUBALIKI!

Nakuunga mkono kwa yote uliyoongea ni kweli watu wanapenda kutawala wenzao lakini unapoua wale unao watawala unataka utawale mawe?
nawakilisha

________________________________
From: Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 27 July 2013, 21:55
Subject: [wanabidii] MACHAFUKO NCHINI MISRI HAYAKUBALIKI!

Ndg wanabidii
nimesikiliza Radio BBc na imehabarishwa kuwa zaidi ya watu laki moja wameuwawa na maelfu kujeruhiwa nchini Misri. Kisa ni mapambano kati ya Polisi na wafuasi wa Rais aliyepinduliwa Bw. Morsi.

Kwa hali hii mtu yeyote anayejali UTU na kuheshimu kuwa UHAI ni zawadi ya kwanza na kubwa, Mungu aliyejaliwa viumbe wake inaumiza. Sidhani kama maisha yawe ya mwanadamu au kiumbe chochote yamekosa thamani kiasi hiki. Ni lazima dunia ielimishwe THAMANI ya uhai wa MTU. Na UHAI utunzwe na uheshimike. Madaraka na nguvu ni BAADA ya Uhai na si KABLA ya Uhai. 

Kama ni darasa limetoshwa na naomba lieleweke kwa Watanzania. Unapoua unapigania nini?

nawakilisha.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment