Wednesday 31 July 2013

Re: [wanabidii] ‘Chadema haina ubavu kumkataa Tendwa’

Tatizo siyo kwamba ofisi ya msajili wa vyama haipo kisheria, tatizo ni
kwamba haitoshi hiyo ofisi kuwepo kisheria, inatakiwa ionekane
ikitenda haki kwa vyama vyote (ikilea vyama vyote vya siasa kwa usawa
bila kuegemea chama tawala). Hivyo, naibu msajili wa vyama kujibu
kwamba ofisi yake ipo kisheria haitoshi. In fact, siyo hoja for that
matter.

On 7/31/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> Tatizo ni pale ndugu zetu walio madarakani wanapojifanya ndo wenye uwezo wa
> kufikiri tu na wengine ni vichwa vitupu. Kwamba pale unapotokea ubabaishaji
> hatuoni wanaona wao tu, watanzania wa leo wanafuatilia mambo kwa umakini na
> kutofautisha akili ndogo na kubwa
>
>
> 2013/7/30 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>
>> Kwa maoni yangu Tendwa angeijibu jamii kuonyesha asivyolea chama kimoja
>> au
>> akiri kosa la kupendelea. Chadema walisema ccm inafundisha vijana
>> mafundisho ya kijeshi. Tendwa akakaa kimya. Baadaye chadema nao
>> watafundisha mafunzo hayo kwa vijana wao. Tendwa akajibu kuwa wakitoa
>> mafunzo hayo atawafutia usajili. Chadema wakasema anapendelea. Sasa
>> wasikilizaji tunatarajia Tendwa aeleze kuwa kimya chake na kutishia kwake
>> kama ilivyo hapo si upendeleo. Kwa mfano akisema cdm waliposema ccm
>> wanatoa
>> mafunzo hakusikia. Lakini kubishania kutambuliwa kunamshushia hadhi kwa
>> walio kimwa.
>>
>> ----------
>> Sent from my Nokia Phone
>>
>> ------Original message------
>> From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Tuesday, July 30, 2013 4:55:11 PM GMT+0300
>> Subject: [wanabidii] 'Chadema haina ubavu kumkataa Tendwa'
>>
>> OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema Chama cha Demokrasia na
>> Maendeleo (Chadema) hakina ubavu wa kumkataa au kutomtambua John Tendwa
>> kuwa ndiye msajili wa vyama vya siasa nchini.
>>
>> Kauli hiyo ilitolewa jana na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasai, Rajab
>> Baraka alipozungumza na MTANZANIA kuhusu kauli iliyotolewa na Katibu Mkuu
>> wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa aliyedai chama hicho hakimtambui John
>> Tendwa
>> kuwa ndiye msajili wa vyama vya siasa.
>>
>> Katika madai yake Dk. Slaa alidai Tendwa anakipendelea CCM katika kutoa
>> haki ya demokrasia na hatendi haki kama mlezi wa vyama vyote vya siasa
>> nchini.
>>
>> Dk. Slaa alisema hayo wiki iliyopita alipokuwa akizungumza na waandishi
>> wa
>> Habari na kusisitiza hata katika barua zao za mawasiliano kwenda kwa
>> ofisi
>> ya msajili chama hicho hakitumii jina la John Tendwa.
>>
>> Kwa mujibu wa Dk. Slaa, Chadema kinaitambua ofisi ya Msajili wa Vyama tu
>> lakini hakimtambui Tendwa kuwa ndiye msajili wa vyama vya siasa nchini.
>>
>> "Hatumpelekei hata barua huyu hatunzi sheria siyo mtu wa kulea vyama ni
>> mlezi wa chama kimoja, hayuko serious na hatushirikiani naye mpaka
>> aondoke
>> madarakani.
>>
>> "Tukiandika barua hatuweki jina lake lakini tunaitambua ofisi yake, hata
>> yeye mwenyewe analijua hilo na akijibu barua zetu haweki jina lake,"
>> alidai
>> Dk. Slaa.
>>
>> Akijibu hoja hizo, Naibu Msajili alisema Chadema hawana ubavu wa
>> kutomtambua Tendwa kwa sababu amewekwa kisheria na ofisi yake ipo
>> kisheria.
>>
>> Alisisitiza Tendwa ataendelea kuwa mlezi wa vyama vyote na siyo chama
>> kimoja kama inavyodaiwa na kuvitaka vyama vyote kuheshimu sheria
>> iliyomuweka madarakani msajili huyo.
>>
>>
>> http://www.mtanzania.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=8537:chadema-haina-ubavu-kumkataa-tendwa&catid=25:siasa&Itemid=41
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment