Mtatiro.
Kuna mtu humu nilisema sitawasiliana naye, mpaka nitakapo sahau, vifo vya watoto wa Arusha, mwambie ashughulikie, maana hao uliowapigia wametumwa na huyo pamoja na wenyevyeo kama vyake kwenye litanuru lao la mauaji.
--------------------------------------------
On Mon, 7/29/13, Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MTWARA, VIJANA WANNE WATEKWA WAPELEKWA KAMBI NDOGO YA JESHI YA UMOJA KWA MATESO
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, July 29, 2013, 2:01 AM
Mgamba,
Hiyo ni kweli. Hatuwezi kushinda vita
yoyote ya nje ya nchi ikiwa jeshi letu lina mahusiano mabaya
na wananchi wake (kama haya yanayoelezwa Mtwara). Inabidi
Jeshi na Serikali inayolitumia wajitazame upya na haraka.
RSM
2013/7/29 RICHARD
MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
Jeshi liko imara,
tukichokozwa tutajibu. Kumbe huku nyumbani jeshi linafanya
kazi ya IGP Mwema? Katiba inaruhusu jeshi kutumika katika
matumizi kama ya Mtwara? Haya watu hawataki kujadili, ila
wanashabikia kauli za hatari za kupigana na majirani zetu.
Kaazi ipo.
From: Abdalah
Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday,
July 29, 2013 10:43 AM
Subject:
[wanabidii] MTWARA, VIJANA WANNE WATEKWA WAPELEKWA KAMBI
NDOGO YA JESHI YA UMOJA KWA MATESO
KONGAMANO
LA AMANI UDSM LILILORUSHWA NA ITV LASABABISHA BALAA MTWARA,
VIJANA WANNE WATEKWA WAPELEKWA KAMBI NDOGO YA JESHI YA UMOJA
KWA MATESO.
Unaweza
usiamini haya yanatokea Tanzania au yanatungwa.
Nimemaliza
kuongea na Mashuhuda wanne sasa hivi ambao wao wamenusurika
baada ya kuwa mita chache katika eneo la tukio.
Makundi
mbalimbali ya wananchi yalikuwa yanafuatilia Kongamano pale
Mtwara. Majira ya saa 11 jioni vijana waliokuwa kwenye
Grocery iitwayo KWATELELA(Glocery hii inaangaliana na lango
KUU la mamlaka ya Bandari Mtwara) walishangilia kwa nguvu
kuunga mkono baadhi ya hoja zilizotolewa kwenye kongamano,
karibu yao alikuwepo askari jeshi aliyevalia kiraia ila
hawakujua hilo.
Kongamano lilipokaribia kuisha, askari jeshi yule aliwatolea
bastola na kuwaweka chini ya ulinzi. Alipiga simu kuwaita
wenzie na mara gari ya jeshi ilifika. Vijana wanne
walichukuliwa muda huohuo na kupelekwa kwenye kambi ndogo ya
jeshi ya UMOJA iliyopo Mtwara.
Hadi sasa vijana hao hawajaachiwa, na haijulikani hapo
kambini wanafanywaje.
Nimejaribu kumpigia waziri Nchimbi na simu yake inaita tu,
IGP pia simu zake zinaita tu, nimejaribu kuwatumia ujumbe
mfupi. Nafuatilia pia majina ya vijana hao.
Nchi hii inaelekea mahali kubaya sana, utawala wa sheria na
kujali haki za msingi za raia sasa umeshaporwa.
J. Mtatiro.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment