Wednesday, 24 July 2013

Re: [wanabidii] AMRI YA PIGA TU IMEUA OSTERBAY

Baada ya kauli hiyo polisi hawalazimiki kuwapeleka watuhumiwa mahakamani bali ni kutoa vipigo hadi msiba. kasema mkubwa bwana, huodio utawala wa  sheria za mafisadi

2013/7/25 Salim Rupia <zabarelo@gmail.com>
Jamani hatuna cha kufanya? Mtu anaweza kusoma haya na kunyamaza lakini yanaweza kuzoeleka machoni na kichwani kama mawazo m badala hayatolewi. Hivyo mnisamehe kujibu hoja hii ambayo kiukweli haitusaidii sana kama hoja lakini ngoja nisemee kidogo.
Kwa wenzangu wote wanaoamini hayo; hivi mnaamini kuwa kabla ya sentesi ile kutamkwa hakuna watuhumiwa waliowahi kufia mikononi mwa Polisi? Hivi kuna mtu ana taarifa ya watu wangapi walikufia mikononi mwa Polisi katika awamu ya kwanza?
Tuna oreviledge ya habari na uwazi na demokrasi; lakini pia kuna utaalam. Tusifanye kila kitu ni siasa.
Kwa u binadamu sifagilii lililotokea lakini naweza kusema huenda ikawa ni kama ajali nyingine zozote zile; daktari kukosea na kupoteza maisha ya mgonjwa; dereva kuingiza gari mtaroni na kuua na mifano lukuki ambayo huwezi kuhusisha na kauli iwayo yote ile kwa hali yoyote ile.
Kitaaluma; kauli haiwezi kuwa tofauti na sheria na ikafanywa kama kigezo na wahusika kwa faida yao ama watu wachache.

On Wed, Jul 24, 2013 at 10:35 PM, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:

Jamani. Tutafika kweli? Kwamujibu wa gazeti la Tanzania Daima Jwshi la polisi linatuhumiwa kumuua mtuhumiwa akiwa katika kituo cha polisi cha Osterbay jijini DSM. Inauma sana. Hii amri ya na "Mimi nasema wapigwe tu" ndo inaendelea kutekelezwa. Kama polisi ndo kunanuka hivyo tukimbilie wapi?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment