Wednesday 1 May 2013

Re: [wanabidii] AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA

Truth is the beginning of every good thing, both in heaven and on earth; and he who would be blessed and happy should be from the first a partaker of truth, for then he can be trusted: Plato

On Tue, Apr 30, 2013 at 2:32 AM, Hermengild Mayunga <drmayunga@gmail.com> wrote:
Tatizo kwa Baba Padre ni Kwamba amevunja Amri ya kumi na Moja (The eleventh Comandments) "Though Shall Not Be Caught"...........USIKAMATWE, Wengi wao zile Kumi wameona ni nyingi sana sasa wamekuwa waaminifu walau kwa hii moja ya Kumi na moja. Angetunza hiyo bado Tungendelea kumuona Baba Padre Mwema.
 
Basi Bahati mbaya Atafanya Sakrament ya Kitubio, Ila Next time awe Mwaminifu katika Eleventh Commandments.

On Tue, Apr 30, 2013 at 12:27 PM, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
Kimsingi huyo Padre kafanya dhambi tena kwa aibu. Kama angefanya fanya kimyax2 tusingefahamu. Lakini KUOA au KUTOOA si issue. Nakumbuka hapa inchini kuna Mchungaji aliyeoa aliwahi fumaniwa na mke wa mtu, tena akachomwa kisu SEMBUSE HUYU AMBAYE HANA MKE KABISA. Sisi wenyewe tuliooa na tulioolewa na siyo mapadre pengine tumewahi au tunaendelea kufanya ngono na watu ambao sio wenzi wetu wa ndoa. Tunafanya dhambi! Dhambi ni tabia ya ubinadamu kwakuwa binadamu hana ukamilifu. Hii ni aibu ya Padre huyu na anastahili kupewa adhabu kwa taratibu za Kanisa.
Vin   

On Tue, Apr 30, 2013 at 7:34 AM, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
Comrade     Magobe;
Exactly I am with you,kushindwa kwa mtu kufikia standards sio sababu au kipimo cha kubadili standards.
Kashindwa yeye kuwa Mkatoliki sio wameshindwa wote,hii hulka yetu ya ku-generalize issues ni proof nzuri ya 'uvivu wa kufikiri'.
Ni kama vile watoto wamefeli mtihani basi jawabu ni kupunguza maksi za ufaulu!! Huo ni uhuni wa fikra.
Big plus Braza Magobe.
 
Reuben

From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, April 29, 2013 5:26 PM
Subject: Re: [wanabidii] AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA

Padri akizini siyo kwamba jawabu lake ni kuoa maana aliyeoa akizini
jawabu lake si kuwa padre au mseja. Inapotokea padre kazini au aliyeoa
kazini (nje ya ndoa) inaonesha kwamba huu ni wito na kuna wanaofaulu
na kuna wanaofeli. Hata kwenye kazi zingine - kuna wanaoweza na kuna
wasioweza na si sahihi kwamba mtu akishindwa kutimiza wajibu wake basi
kazi nzima ibadilishwe muundo wake. Hapa nasema kwa wale wanaopenda
kutoa majibu mepesi kwamba kwa vile baadhi ya mapadri wanazini basi
mapadri wote waoe as if katika waliooa wote hakuna anayezini (nje ya
ndoa). Imani ni kuona "kichaka kinawaka moto lakini bila kuteketea"
(Musa), "Nabii Yona kukaa ndani ya tumbo la samaki siku tatu lakini
bila kutafunwa", "Yesu kuzaliwa bila kuwa na physical baba", "kufa na
kisha kufufuka", Mungu kuwa "transcendent" na 'immanent", "kubadili
maji kuwa divai"... imani is "to see beyond the horizon."

On 4/29/13, Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com> wrote:
> Asante kaka Reginald nimeiona hahahahaha! nilichanganyikiwa, unajua tena
> Ukatoliki wangu!!!
>
>
>
> On Mon, Apr 29, 2013 at 5:47 AM, Maurice Oduor
> <mauricejoduor@gmail.com>wrote:
>
>> Ayiiii !!!!!  Mtume !!!!!  Aibu kupita kipimo mjomba !!!!
>>
>> Mombasa karibu kila padri kaoa kisiri, kumba kwa jirani yetu TZ nako
>> zaendelea dhambi hizi !!!  Salaaaaleh !!!!!!
>>
>>
>> Courage
>>
>>
>> On Mon, Apr 29, 2013 at 8:38 AM, Joseph Beda Rupia
>> <rupia.joseph@gmail.com
>> > wrote:
>>
>>> Richard, iweke full story tuipate
>>>
>>>
>>> On Mon, Apr 29, 2013 at 5:36 AM, denis Matanda
>>> <denis.matanda@gmail.com>wrote:
>>>
>>>> Wazinzi wanaheshimika kwenye vijiwe vyao vya
>>>> wazinzi........................
>>>>
>>>>
>>>> On Mon, Apr 29, 2013 at 12:28 PM, Reginald Miruko
>>>> <rsmiruko@gmail.com>wrote:
>>>>
>>>>> Mzinifu yeyote aheshimiki hata kama si padri.
>>>>>
>>>>> RSM
>>>>>
>>>>>
>>>>> On 29 April 2013 15:07, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
>>>>>
>>>>>>
>>>>>> Nimeshindwa kuiweka hii story katika blogu yangu kwa kuwa ninaamini
>>>>>> aliyofundisha St. Francis na ningependa na wewe usome na pengine
>>>>>> uamini
>>>>>> kama mimi. Watumishi wa Mungu ni wa kuombea kwa kuwa wanakutana na
>>>>>> vishawishi vingi sana na pengine kwa nguvu zao wenyewe si wote
>>>>>> wanaweza
>>>>>> kutimiza yote yanayoagizwa juu yao. Ni kama askari walio mstari wa
>>>>>> mbele
>>>>>> vitani, wanaonekana haraka na kwa kuwa ni hatari zaidi kwa adui
>>>>>> (shetani)
>>>>>> wanakuwa kwenye nafasi ya kushambuliwa zaidi kuliko wengine. Hata
>>>>>> hivyo
>>>>>> hiyo sio kisingizio cha kutimiza ahadi zao, bado wana option ya kuamua
>>>>>> kama
>>>>>> Mtume Paulo alivyosema, anayeweza kuishi kama mimi na aishi, na
>>>>>> asiyeweza
>>>>>> basi na aoe.
>>>>>>  Now to the unmarried and the widows I say: It is good for them to
>>>>>> stay unmarried, as I do. But if they cannot control themselves, they
>>>>>> should
>>>>>> marry (*1 Corinthians
>>>>>> 7:8-9*)<http://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&ved=0CC0QFjAA&url=http%3A%2F%2Fwww.biblegateway.com%2Fpassage%2F%3Fsearch%3D1%2BCorinthians%2B7%253A8-9%26version%3DNIV&ei=wlt-UZvvA4rdswbYooBI&usg=AFQjCNHNw54BnKCOrm-nE_6SjqV54GfoGQ&bvm=bv.45645796,d.Yms>
>>>>>>  How could anyone respect a sinful priest?! St. Francis
>>>>>> did!<http://stfrancisspeaks.blogspot.com/2010/01/st.html>
>>>>>> St. Francis wanted all of his brothers to honor and lovingly obey all
>>>>>> members of the clergy, especially priests who have, as St. Paul said,
>>>>>> 'the
>>>>>> responsibility of watching over your souls'. Francis' rationale for
>>>>>> honoring the clergy is based on the fact that it is GOD that has
>>>>>> decided to
>>>>>> act through them . . . to bring Christ back into the world
>>>>>> physically,
>>>>>> during the Mass, and HE ALWAYS deserves our honor and respect!
>>>>>> .........
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>> http://goldentz.blogspot.com/2013/04/aibuuu-padri-wa-kanisa-katoliki-huko.html
>>>>>>
>>>>>> --
>>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>> Disclaimer:
>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> facts
>>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>>>> that you
>>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>>> Guidelines.
>>>>>> ---
>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>> send
>>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>
>>>>>  --
>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts
>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>> you
>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>> Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> Wasalaam,
>>>>
>>>> Denis Matanda,
>>>> Mine Planning Supt,
>>>> Tanzania.
>>>>
>>>> *" Low aim, not failure, is a crime"*
>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>
>>>  --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>>  --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

drmayunga@gmail.com
tapama@parliamentary.go.tz
www.twitter.com/drmayunga
Tel +255 784 520680
Tel +255 752 520680

0 comments:

Post a Comment