1. Ilitangazwa lini

2. Consultant alikuwa nani?

3. Estimates zake zinasemaje?

4. Tenda ilitangazwa na idara zipi za serikali?

5. Kampuni ngapi ziliomba hiyo tenda?

6. Majina ya hizo kampuni zilizoomba yako wapi?

7. Evaluation team ya hiyo tender ilihusisha akina nani?

8. Pre qualification stage zilipita kampuni ngapi?

9. Zilizoshindwa zilitolewa kwa vigezo vipi?

10. Technical specs za huu mradi ni zipi?

11. Financial specs za huu mradi mbona siri kubwa?

12. Je kampuni ngapi za wana Mtwara zilihusishwa hata kwenye sub contracting?

13. Je, Mtwara Development Agency WALIHUSISHWAJE KWENYE HUU MPANGO?

14. Hizi TUHUMA za watu kula pesa China ni kweli?