Monday 28 January 2013

Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais

Tony, anaweza kumsaidia EL kujisafisha lakini hatoweza, maana yeye mwenyewe aliamua kujiuzuru alipoona maji yamezidi unga, sasa anajibuje hayo maswali kwa wananchi leo??? Napaona kukiruka hiki kiunzi ni parefu sana hapo kwa kweli!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 28 Jan 2013 08:10:00
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais

Josephat,


Udaktari wake na argument za kisiasa zinashabianaje? Hiyo ni dharau kwa fani ambayo wewe ni mbumbumbu kwayo!
Badala ya kubihania hoja mnadhalilisha taaluma za wenzenu ili ushinde hoja!

Sitta hahusiki na Richmond na pia malipo ya Dowan ni maksa ya ukurupukaji wa serikali kutokufuata taratibu za kuvunja mkataba na kuachia tenda kuhamishiwa Dowan toka Richmind kinyume cha sheria za manunuzi za wakati huo. Hayo sio makosa ya Sitta, yeye na tume ya Mwakyembe walisaidia waTz kutohadaiwa na uffisadi na wakabaki gizani kutokana na kutoa tenda kwa kampuni isyo na uwezo.

Kutokana na hja zako hapa umeonyesha upande uliko na kwa kukusaidia tu, heri utafute alibi mwingine kusukumia makosa ya kitendaji yaliyofanywa na kiranja mkuu wa wakati huo. Sijui kama utamsaidia kujisafisha, nina shaka na hilo!
------Original Message------
From: Josephat Isango
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais
Sent: Jan 28, 2013 10:45

Asante Kigwangala, Daktari kwa kuonyesha uwezo wako umeanzia wapi na unaishia wapi? Unashindwa kuwa mkweli kwa kuwa unatoka Mkoa Mmoja na Sitta? Tueleze sakata la Richmond liliishaje? Machakato wa kuilipa Dowans na kauli za Sitta, na hasara ambayo taifa linaingia sasa kwa sababu ya ushauri wake. Hatusemi sana, wakati wa kufunguka unakuja tutasema. Wewe endelea kuonyesha uwezo. Safi sana!

--- On Fri, 1/25/13, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote:

From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, January 25, 2013, 3:01 PM

Katika wanasiasa wachache waliopo huyu Mzee vana kiwango cha juu sana cha kuwa 'honest'...akigombea atawasumbua sana wenzake...ana akili nyingi sana huyu Mzee. Atanipa taabu kuchagua baina yake na wengine wawili ninaowapenda, kama watajitokeza nao ofcoz...

2013/1/25 Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
Fredy, uyasemayo ni kweli. Yatamkuta, kwasababu kwanza safari hii urais ni zamu yetu Wazenj. Pili, tumesahau jamani mara ile nini alitueleza Dr Slaa juu ya Sitta? Hebu jamani tujikumbushe kidogo kabla hatujamtaja tena huyu Nd. Sitta kwa position ya urais wa nchi yetu tukufu:

http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/09/sitta-avuliwa-nguo-na-chadema-katika.html

...bin Issa.
From: Fredy Lema <fredylema@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, January 25, 2013 2:39:41 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais

Yaliyomkuta katika uspika katika chama chake kwa karata ya mwanamke yatamkuta pia kwenye uraisi sijui amejiandaaje na hilo.

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 25 January 2013, 9:40
Subject: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais

Asububiri mchakato wa kumpata mwakilishi wa chama chake akajieleze ,
wamkague , vyombo vya ulinzi na usalama vimkubali .

On Jan 25, 8:45 am, Fred Alphonce <fredrick197...@yahoo.com> wrote:
> SOURCE 
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment