Friday 18 January 2013

Re: [wanabidii] Research za Talaka

Pamoja na Simu, Masuala ya mke kutumia uzazi wa mpango bila ya ruhusa ya mume na maeneo mengine mkwe husababisha talaka. Ndio maana sindano ya kuzuia uzazi depo-provera hupendwa zaidi ktk nchi zetu za waafrika kutokana na mke kuweza kutoonekana na vidonge na kujulikana kama amezuia uzazi. Maana, ndugu au mkwe anaweza kuleta mke mwingine maana huyo aliyepo si hataki kuzaa. Masuala ya Condom nayo yamemeta utata ktk ndoa. Mke kumkuta mume ana condom imefikia mke kumwagia maji ya moto kuwa muhuni badala ya kumshukuru kuwa analinda afya ya mke pia. HIV/AIDS utata. Mmoja kuonekana positive na kumtaka mwenzake apime au mmoja kumtaka mwenzake wakapime-gomvi huanzia hapo au kila anapochelewa kurudi kutoka kazini-tukapime. Hii ya kuchelewa-ukapime haisaidii kitu kama condom haitumiki. Unapima leo umerudi late unapimwa lakini kesho unapitapita, keshokutwa unapima haina maana yoyote bora utumie kinga daily sio bila kinga daily halafu unapima daily. Kwa sasa DNA test italeta mifarakano mingi. Tunasikia watoto wengi sio wa baba zao. Mwingine huko Ulaya wote 3 aliowalea sio wake baada ya kupima DNA. Huku kwetu ndio balaa.

Badala ya kuangalia mila na desturi za watu wa makabila mbali mbali, ziangaliwe factors
mbalimbali zinazosababisha talaka kwani wakati umebadilika sasa. Kuna mengi zaidi ya mila za ukandamizaji.

--- On Fri, 18/1/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Research za Talaka
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 18 January, 2013, 20:06

Pia kuna suala la Miwasiliano ya kisasa haswa simu na mitandao ya kijamii katika kusabisha talaka nyingi pia .

Ni suala la kuangalia

2013/1/18 jones konga <lufj.24@gmail.com>
hiyo research yako waweza pia kutembelea wilaya ya mbozi mkoani mbeya
naamn itahusika pia

On 1/17/13, Festo Liheta <fliheta@yahoo.co.uk> wrote:
> Ndugu wanabidii, nafanya research kuhusu talaka, naomba yeyote ambaye
> amewahi kuona au amefanya research kuhusu talaka kwa tanzania anisaidie
> manake nimeshindwa kabisa kupata kazi za hapa tanzania. natanguliza shukrani
> zangu.
> Festo
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

0 comments:

Post a Comment