Saturday 26 January 2013

Re: [wanabidii] Re: VURUGU MASASI - NYUMBA YA MBUNGE YACHOMWA MOTO

Serekali itekeleze wanachotaka wananchi hasa kama wanachokitaka ni haki hasa kama historia ya raslimali gombaniwa au pigiwa kelele inastahili kuwanufaisha wazawa hasa wana mtwara kwanza

Regards,

Mugittu, Zephaniah,

Cell: +255 784 769 481

Skype: Zephaniah N.N. Mugittu

No matter how high one is talented , business acumen still a necessity

"Poverty is a result of attitude ..."

--- On Sat, 26/1/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: VURUGU MASASI - NYUMBA YA MBUNGE YACHOMWA MOTO
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 26 January, 2013, 12:53

abari kutoka Masasi,wamechoma kituo cha police/nyumba za Wabunge wa ccm zinashambuliwa/ofice za chama cha Mapinduzi zinashambuliwa/Ofice za mali asili zimevunjwa kila kilichopo ndani/wameenda ofice za hal,ashauri wamechoma magari na pikipiki zilizokuwa zimeegeshwa hapo/Hali ni mbaya na Police wamezidiwa nguvu na wamejifungia ktk kituo cha police kusubiri nguvu zaidi/wananchi kwa sasa wanaenda ktk nyumba ya Anna Abdala wakaimalizie/wanaingia ktk nyumba za Police na kuharibu kilakilichopo na ni nyumba kwa nyumba.Hali ni tofauti kabisa.Chanzo cha vurugu za leo ni raia wawili waliojetuhiwa na risasi zilizofyatuliwa na askari wa kutuliza ghasia FFU ktk kuwatawanya wananchi waliokwenda kituo cha police kulalamikia ukamatwaji wa hovyo na wa uonevu unaofanywa na baadhi ya polisi.

Sos Mwandishi wa habari kutoka Mtwara
Albano Mwindu kutoka 
Wapo radio Fm.

2013/1/26 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Askari wa Barabarani Mmoja ameuwawa na waandamanaji 2

On Jan 26, 2:50 pm, Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com> wrote:
> http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/390894-masasi-nyumba-ya-mb...
>
> On Jan 26, 2:49 pm, Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> > - Risasi za moto na mabomu ya machozi yanapigwa kutawanya watu na
> > tayari nyumba moja imechomwa moto. Gari la maji ya kuwasha limefika
> > ila bado watu wanazidi kuongezeka
>
> > - Tayari gari na nyumba ya mbunge imechomwa moto na vijanga wanazidi
> > kusonga mbele wakiwa na madumu ya petrol
>
> > - Mahakama ya mwanzo imechomwa, moto na polisi wamejifungia ndani!
> > Wanarusha mabomu ya machozi wakiwa ndani.
>
> > - Askari magereza wamejaribu kuwasha gari la maji ya kuwasha lakini
> > bahati mbaya halina, maji hivyo wakashuka na kukimbia na wananchi
> > wanataka kulichoma moto

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment