Isango, demokrasia inaniruhusu kusema ni nani. Namsupport na nani simsupport. Wakati wangu ukifika nitasema ila kwa sasa itoshe tu kusema kwamba 'huyu ni miongoni mwa watu makini ndani ya Taifa letu na kama atagombea kwa vyovyote vile atasumbua na. Kwangu binafsi atanipa taabu kufanya maamuzi ya kuchagua kati ya watu wangu wengine wawili, ambao tayari nimeishakuwa nikiwashawishi wagombee, mara kadhaa na mpaka sasa hawajafanya maamuzi.' Kama Mzee SS naye ataingia nitapata kazi kuchagua, na si mimi peke yangu tu, ni pamoja na ile timu yetu tuliyounda mwaka jana kwa ujumla wake! Wewe utafunguka ukipenda na kwa wakati wako, utakuwa umetumia vzr tu haki yako ya kidemokrasia. Na Sisi tutatumia haki yetu kukupinga ama kukuunga mkono hoja yako! Binafsi ninavyoona 'anafaa' kuwa Rais lakini najua atawaunga mkono vijana wake watatu ninaowafahamu lakini kama chama kikitaka kumtumia kwa miaka hii mitano (kama ambavyo amekuwa akisema yeye mwenyewe), basi atawafuta kabisa upinzani kwa kushinda kwa kishindo siku jina lake likitangazwa, maana anakubalika sana!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Josephat Isango <joseisango@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 27 Jan 2013 23:45:09 -0800 (PST)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais
Asante Kigwangala, Daktari kwa kuonyesha uwezo wako umeanzia wapi na unaishia wapi? Unashindwa kuwa mkweli kwa kuwa unatoka Mkoa Mmoja na Sitta? Tueleze sakata la Richmond liliishaje? Machakato wa kuilipa Dowans na kauli za Sitta, na hasara ambayo taifa linaingia sasa kwa sababu ya ushauri wake. Hatusemi sana, wakati wa kufunguka unakuja tutasema. Wewe endelea kuonyesha uwezo. Safi sana!
--- On Fri, 1/25/13, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Friday, January 25, 2013, 3:01 PM
Katika wanasiasa wachache waliopo huyu Mzee vana kiwango cha juu sana cha kuwa 'honest'...akigombea atawasumbua sana wenzake...ana akili nyingi sana huyu Mzee. Atanipa taabu kuchagua baina yake na wengine wawili ninaowapenda, kama watajitokeza nao ofcoz... -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment