Sunday 27 January 2013

Re: [wanabidii] Re: MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGEZACHOMWA MOTO *

Tony umesema sawa kabisa na mimi naamini bado Serikali haijachelewa, Wachukue hatua sasa, hii dalili mbaya sana.

DK





On Jan 27, 2013, at 12:58, Victor Mwita <victormwita@gmail.com> wrote:

Watu wanaoshabikia vurugu wajifunze kilichotokea Libya, Tunisia na Egypt. Watu wakishaamua kutumia vurugu kwa kudhani ndio wanamaliza matatizo hawataishia hapo pa kuchoma nyumba za viongozi tu. Watachoma na kufanya vurugu bila kikomo. Kuna njia za kistaarabu za kufikia malengo na hata katika hili mzee Mkapa ameshasema watu wakae na kufikia amicable solution. Tusishabikie fujo watz wenzangu mwisho wake wataumia wasiokuwemo pia. Nchi haijafikia pa kutumia vurugu kupata maslahi. Waandishi na sisi sote tusijaribu kujenga picha kwamba kila uvunjifu wa amani huko Mtwara unahusiana na gesi. Huo ndio ndio ushauri wangu kwetu sote

On Jan 27, 2013 12:25 PM, "Ireneus Kakuru Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:

Wakati wanachagua waligawiwa tisheti za "MAISHA BORA KWA KILA MWANANCHI" lakini haya maisha hawajawahi kuyaona.

Ht hii raslimali ambayo wao walitegemea iwabadilishie maisha yao kuwa bora bado inaonekana kwenda kutengeneza ubora kwingine na mbaya zaidi kwa maamuzi ya hao hao waliowaahidi hayo maisha bora

Sasa hiyo reaction iende wapi? Si kwa hao hao walioahidi na wakashindwa kutekeleza? Haya ni mavuno kwa walichopanda.

Unajua raia wana kero nyingi ambazo hazina majibu toka kwa hao waliowadanganya wakawaamini wakawakabidhi dhamana..so anything of the sort km hii ya gesi inatosha kuprovoke situation into more worse.. kuna grudges nyingi behind the scene.

Tusibweteke na suala la gesi tu, tirudi nyuma kwenye uhalisia hawa watu wamefamyiwa sawa ukilinganisha na maeneo mengine ya nchi kwa kigezo cha raslimali hizi hizi?

Hebu tuliangalie hili kwa jicho pana zaidi na ndio tutajua kwa nini wanashambuliwa watawala maana wao ndio waliokabidhiwa dhamana ya kuleta mabadiliko tena kwa miaka zaidi ya 50,

Wafanye nini km tu kuhoji wanajibiwa jeuri?

Wakawawajibishe CUF AU CHADEMA?

Obvious ni CCM!

Ireneus
On Jan 27, 2013 11:52 AM, "Yona F Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>
> This message is eligible for Automatic Cleanup! (oldmoshi@gmail.com) Add cleanup rule | More info
>
> Sasa kwanini washambuliaji wanavamia nyumba za wanachama wa CCM au
> viongozi wao ?
>
> Hawa wananchi si wao wenyewe ndio wamewachagua tena kwa kishindo ?
>
> On Jan 27, 11:21 am, richard bahati <ribah...@gmail.com> wrote:
> > HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA
> > MOTO Habari zaidi na picha hapa:http://goldentz.blogspot.com/2013/01/hali-ni-mbaya-mtwara-damu-ya-wat...
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment