Sunday 27 January 2013

Re: [wanabidii] Re: MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGEZACHOMWA MOTO *

I am not sure if what they are doing will lead them to achieve their demands. State means power and whoever controls state have power. I am sure if the state decides its power they will be crushed. I think their voice has been heard and the govt will sit down with them for a peaceful solution. Sasa na sisi wengine tusaidie kutoa mawazo kuhusu njia muafaka za kutumia rasilimali za taifa kwa faida yetu wote kama nchi na si kwa faida ya Mtwara tu

On Jan 27, 2013 2:04 PM, "Ireneus Kakuru Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:

Hakuna anayeshabikia vurugu, isipokuwa tunashangaa mamlaka kushindwa kuassess risk inayoweza kutokea kwa response ambazo hazina mashiko.
Hivi hawa tuliowaamini wakishindwa kuwajibika haya si ndio matokeo yake?

The means will justify the end if the gvt can not act responsibly!

Lugha gani inatumika kuongea na hawa watu zaidi ya mabavu?

Same circumstances can drive pp to react in a similar way to their fellow Africans in the said states. There were similar calls but were neglected by the authorities like it is here..

So what...pp r tired n vulnerable to the political making..

Politics should align to the people needs. Not dictate the wellbeings of people..to the extent of mistreating them and ignoring them..

People are fighting back for their surrendered rights since there is no room for negotiation. Gvt may surrender n come back for solution in order to have a Win win situation..

It is all is needed, make citzens heard.

Ireneus
On Jan 27, 2013 12:58 PM, "Victor Mwita" <victormwita@gmail.com> wrote:
>
> Watu wanaoshabikia vurugu wajifunze kilichotokea Libya, Tunisia na Egypt. Watu wakishaamua kutumia vurugu kwa kudhani ndio wanamaliza matatizo hawataishia hapo pa kuchoma nyumba za viongozi tu. Watachoma na kufanya vurugu bila kikomo. Kuna njia za kistaarabu za kufikia malengo na hata katika hili mzee Mkapa ameshasema watu wakae na kufikia amicable solution. Tusishabikie fujo watz wenzangu mwisho wake wataumia wasiokuwemo pia. Nchi haijafikia pa kutumia vurugu kupata maslahi. Waandishi na sisi sote tusijaribu kujenga picha kwamba kila uvunjifu wa amani huko Mtwara unahusiana na gesi. Huo ndio ndio ushauri wangu kwetu sote
>
> On Jan 27, 2013 12:25 PM, "Ireneus Kakuru Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
>>
>> Wakati wanachagua waligawiwa tisheti za "MAISHA BORA KWA KILA MWANANCHI" lakini haya maisha hawajawahi kuyaona.
>>
>> Ht hii raslimali ambayo wao walitegemea iwabadilishie maisha yao kuwa bora bado inaonekana kwenda kutengeneza ubora kwingine na mbaya zaidi kwa maamuzi ya hao hao waliowaahidi hayo maisha bora
>>
>> Sasa hiyo reaction iende wapi? Si kwa hao hao walioahidi na wakashindwa kutekeleza? Haya ni mavuno kwa walichopanda.
>>
>> Unajua raia wana kero nyingi ambazo hazina majibu toka kwa hao waliowadanganya wakawaamini wakawakabidhi dhamana..so anything of the sort km hii ya gesi inatosha kuprovoke situation into more worse.. kuna grudges nyingi behind the scene.
>>
>> Tusibweteke na suala la gesi tu, tirudi nyuma kwenye uhalisia hawa watu wamefamyiwa sawa ukilinganisha na maeneo mengine ya nchi kwa kigezo cha raslimali hizi hizi?
>>
>> Hebu tuliangalie hili kwa jicho pana zaidi na ndio tutajua kwa nini wanashambuliwa watawala maana wao ndio waliokabidhiwa dhamana ya kuleta mabadiliko tena kwa miaka zaidi ya 50,
>>
>> Wafanye nini km tu kuhoji wanajibiwa jeuri?
>>
>> Wakawawajibishe CUF AU CHADEMA?
>>
>> Obvious ni CCM!
>>
>> Ireneus
>> On Jan 27, 2013 11:52 AM, "Yona F Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>> >
>> > This message is eligible for Automatic Cleanup! (oldmoshi@gmail.com) Add cleanup rule | More info
>> >
>> > Sasa kwanini washambuliaji wanavamia nyumba za wanachama wa CCM au
>> > viongozi wao ?
>> >
>> > Hawa wananchi si wao wenyewe ndio wamewachagua tena kwa kishindo ?
>> >
>> > On Jan 27, 11:21 am, richard bahati <ribah...@gmail.com> wrote:
>> > > HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA
>> > > MOTO Habari zaidi na picha hapa:http://goldentz.blogspot.com/2013/01/hali-ni-mbaya-mtwara-damu-ya-wat...
>> >
>> > --
>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>  
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>  
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>  
>>  
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  
>  

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment