Comrades!!
Biashara zimeanza kuchanganya hapa jukwaani?
Moderators tuambieni kama inaruhusiwa mana tunapatamani sana kupatumia kuusa.
Reuben
From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 16, 2013 1:05 AM
Subject: [wanabidii] nyumba inauzwa bei chee
--
Nauza nyumba ipo mbagala maji matitu jirani kabisa na mission m 800 toka barbara ya laki,ni ft 60kwa 50 ina nyumba ya vyumba 3 na sebule haijaisha vzr ila inaishi mtu(mpangaji) bei m 12 tu.pia mashamba yanapatikana yapo kijiji cha boko km 15 toka tumbi hosp eka tsh laki 3 tu, ni kijiji kipya kinakua established u are all wecome. call me 0652 314181 or email me thru aramakurias@yahoo.com or tell me 24 hour u will be responded thax
--- On Wed, 1/16/13, Wilson Gwoma <gwomason@yahoo.co.uk> wrote:
From: Wilson Gwoma <gwomason@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] NYUMBA INAPANGISHWA-UKONGA-ILALA-DSM
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, January 16, 2013, 6:03 AM
--
NYUMBA INA PANGISHWAMahali ilipo: Nyumba ipo Majohe kwa Ngozoma-Ukonga- Ilala- Dar Es Salaam karibu na Stendi ya daladala, nyumba inafikika kwa usafiri binafsi au daladala.Hali halisi ya nyumba:i) Nyumba kubwa ina vyumba Vitatu vya kulala, kimoja ni Master Bedroom, Jiko, Dining room, Sitting room na vyoo vya public vya ndani. Nyumba hiyo ina Tiles nyumba nzima, imepigwa Gypsum na Madirisha ya Aluminium (Tinted aluminiums).ii) Nyumba ya Nje ina Jiko la nje na Servant Quarter.iii) Kuna taa za nje na ndani ya nyumba na kwenye fremu za maduka.iv) Kwa nje kuna fremu za maduka na zote zimepangishwa huku moja ina duka langu la vipodozi na nguo.v) Maji na umeme vipo na fremu za maduka na nyumba kubwa kila moja na LUKU yake (kuna LUKU mbili).vi) Nyumba imezungushwa ukuta eneo lote na geti la kuslidevii) Kuna eneo kubwa la kulima na kufuga ambapo kuna mboga za majani, bilinganya, ndizi, mapapai na kuku.Bei: 500,000/= kwa mweziUsafi: Nyumba imetunzwa katika hali ya usafi wa hali ya juu na nadhifu ndani na nje ya nyumba yaani hadi nje ya ukuta.WasalaamWilson GwomaMCHUMI (Msc.Economics)+255(0)715459877/752697128
--- On Wed, 16/1/13, Prof. Mokiti Tarimo <mokiti.tarimo@nm-aist.ac.tz> wrote:
From: Prof. Mokiti Tarimo <mokiti.tarimo@nm-aist.ac.tz>
Subject: Re: [wanabidii] NYUMBA INAPANGISHWA-UKONGA-ILALA-DSM
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 16 January, 2013, 11:09
Samahani tunaomba ufafanuzi zaidi kuhusu hii nyumba. Aina na ukubwa wa nyumba, hali ya maji na umeme na kadhalika. Napennda sana kuja kuiangalia kwani nahitaji nyumba--
On Wed, Jan 16, 2013 at 9:57 AM, Otieno Musa <otienomusa@gmail.com> wrote:
--Sana bwana W.Gwoma
Sent from my iPad--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
<NYUMBA -2.docx>

0 comments:
Post a Comment