Monday 28 January 2013

Re: [wanabidii] Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!

Bariki,

Kwa utaratibu huo itasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji wetu ambao wamekuwa kama hawana baba wala mama, wanajifanyia mambo wanavyotaka kama la kujiamulia kuhamisha geti yote toka mtwara!

Hawajawahusisha Chama tawala wala wananchi au vyama vingine! Hata sijui kama Bunge liliridhia mradi huo au wanataka uletwe kama supplimentary expenditure!

Watwndaji serikalini na viongozi wao wanaojali matumbo tu ndio wanahusika na kila jambo hata pale ni ya kisera. Sijui kama hata vyama vingine walihusishwa lakini nina hakika POAC wanazo taarifa na waliubariki mradi huu kwenye vikao vyao. Leo wasijidai kuruka hapa baada ya mambo kuchacha!

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 28 Jan 2013 11:42:32 +0300
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!

Sioni tatizo kwa Viongozi wa Chama Tawala kutembelea miradi sema ni vema kama Viongozi wengine kutoka Vyama vingine nao wakaruhusiwa kukagua miradi ya maendeleo na siyo viongozi tu hata mwananchi wa kawaida kabisa apate fursa hiyo bila kunyanyaswa wala kuzuiwa ila mambo yote yafanyike chini ya utaratibu.

2013/1/28 <hkigwangalla@gmail.com>
Hii ni hoja mfu. CCM si sawa na CUF wala na TLP, kwa jambo moja tu - CCM ina ilani, na ndiyo inatekeelezwa sasa, waliinadi na wanaogopa wakihojiwa wasijekosa majibu!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 28 Jan 2013 11:17:44
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma:
 Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!

Jamani hatukatai kwamba chama kilichoshika utamu ni CCM lakini sioni
kama ni sahihi kwa viongozi wa vyama kuwapotezea muda mafundi eti
wanakagua ujenzi unavyoendelea. Hivi ina maana na Katibu wa CUF,
CHADEMA, TLP, NCCR, Demokrasia Makini, TPP na Vingine wanaweza
kuutembelea mradi huo nao wakapata mawili matatu toka kwa mkandarasi?
Wakaingia kwenye vijiko na kuviendesha kama anavyoonekana kijana Nape
kwenye picha? Je kama wanaruhusiwa hatuoni ya kwamba mafundi
watapoteza muda mwingi katika shughuli ya kuwapokea wageni wa vyama
badala ya kufanya kazi zao na kumaliza kwa muda waliopangiwa?

Kama CCM  kama CCM ndiye mfadhiri wa ujenzi wa uwanja huo sina neno,
lakini kama fedha ni ya walalahoi kuna haja ya kukemea mambo hayo.
Mkandarasi anaweza kuomba fedha ya nyongeza kwa sababu ya siku
zinazoweza kuongezeka kwa sababu kama hizi. Kwa nini tumtie hasara
mlipaji (mlalahoi) ?  Ningeelewa kama ndugu zangu hao wa "nambari one"
wangekuwa wamefuatana na viongozi wa serikali kwa vile mkandarasi
anawajibika kwao na wala si viongozi wa chama. Namshauri mzee Kinana
akatembelee miradi ya kulaza magari kwenye ofisi za chama, mradi wa
SUKTA, mradi wa mabasi ya wanafunzi Dar es salaam na mingine mingi
ambayo iko chini ya CCM moja kwa moja na mambo hayaendi vizuri. Kuliko
kuchemka na miradi kama hii ambayo tayari ina wasimamizi. Kwa mwendo
huu wakandarasi jipangeni kutupokea wengine na ongezeni siku za
kumaliza kazi

On Mon, Jan 28, 2013 at 10:41 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
> Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara
> maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!
>
> http://goldentz.blogspot.com/2013/01/huu-ni-msafara-wa-secretariate-ya-ccm.html
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group, send email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment