Monday 28 January 2013

Re: [wanabidii] Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!

Mngonge, hiyo unaona wewe kutokana na mahali ulipoamua kusimama, lakini hakuna role ambiguities of any kind hapo, sema naona ni kuongeza uwajibikaji na kuwakumbusha watumishi kuwa kwa sasa bosi wao mkuu kabisa (principal) ni CCM! Najua hili linawaudhi wengi wa watu ambao ni Pro-any chama cha upinzani kwa kuwa mlitaka CCM ilale isifuatilie kama ilani yake inatekelezwa ama la ili muishtukize tu mwisho wa term hii ya uongozi wake wa dola!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 28 Jan 2013 11:44:23
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma:
Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!

HK mkandarasi aliomba tenda kwenye ofisi za CCM? Ina maana mkienda
bungeni hapatakuwa na haja ya kumuuliza maswali waziri husika kwa vile
shughuli ya usimamizi munaifanya wenyewe. Pamoja na Ilani yenu nzuri
ya uchaguzi ipo mipaka kiutendaji otherwise role ambiguities will
persist and everything will go astray.

2013/1/28 <hkigwangalla@gmail.com>:
> Hii ni hoja mfu. CCM si sawa na CUF wala na TLP, kwa jambo moja tu - CCM ina ilani, na ndiyo inatekeelezwa sasa, waliinadi na wanaogopa wakihojiwa wasijekosa majibu!
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: mngonge <mngonge@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Mon, 28 Jan 2013 11:17:44
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma:
> Nimeufananisha na ule msafara maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!
>
> Jamani hatukatai kwamba chama kilichoshika utamu ni CCM lakini sioni
> kama ni sahihi kwa viongozi wa vyama kuwapotezea muda mafundi eti
> wanakagua ujenzi unavyoendelea. Hivi ina maana na Katibu wa CUF,
> CHADEMA, TLP, NCCR, Demokrasia Makini, TPP na Vingine wanaweza
> kuutembelea mradi huo nao wakapata mawili matatu toka kwa mkandarasi?
> Wakaingia kwenye vijiko na kuviendesha kama anavyoonekana kijana Nape
> kwenye picha? Je kama wanaruhusiwa hatuoni ya kwamba mafundi
> watapoteza muda mwingi katika shughuli ya kuwapokea wageni wa vyama
> badala ya kufanya kazi zao na kumaliza kwa muda waliopangiwa?
>
> Kama CCM kama CCM ndiye mfadhiri wa ujenzi wa uwanja huo sina neno,
> lakini kama fedha ni ya walalahoi kuna haja ya kukemea mambo hayo.
> Mkandarasi anaweza kuomba fedha ya nyongeza kwa sababu ya siku
> zinazoweza kuongezeka kwa sababu kama hizi. Kwa nini tumtie hasara
> mlipaji (mlalahoi) ? Ningeelewa kama ndugu zangu hao wa "nambari one"
> wangekuwa wamefuatana na viongozi wa serikali kwa vile mkandarasi
> anawajibika kwao na wala si viongozi wa chama. Namshauri mzee Kinana
> akatembelee miradi ya kulaza magari kwenye ofisi za chama, mradi wa
> SUKTA, mradi wa mabasi ya wanafunzi Dar es salaam na mingine mingi
> ambayo iko chini ya CCM moja kwa moja na mambo hayaendi vizuri. Kuliko
> kuchemka na miradi kama hii ambayo tayari ina wasimamizi. Kwa mwendo
> huu wakandarasi jipangeni kutupokea wengine na ongezeni siku za
> kumaliza kazi
>
> On Mon, Jan 28, 2013 at 10:41 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
>> Huu ni msafara wa Secretariate ya CCM Kigoma: Nimeufananisha na ule msafara
>> maarufu wa Kanal Ghadafi Jangwani!!!
>>
>> http://goldentz.blogspot.com/2013/01/huu-ni-msafara-wa-secretariate-ya-ccm.html
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group, send email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment