Ndugu Elisa
Uko sahihi, mapendekezo mengi ya CHADEMA ni sawa lakini hapo kwenye umri hapana. Miaka 40 inafaa kabisa maana huyu mtu anakua amejikusanyia uzoefu wakutosha. Japo hakuna ubishi kua mtu wa chini ya umri huo anaweza kua na maono mazuri na kua kiongozi mzuri tu. Pia hakuna ubishi kua uzoefu ni mwalimu mzuri, kwahiyo ni bora kijana akapata uzoefu. Kwangu naona miaka 40 na zaidi ingefaa sana.
Pia itatusaidia kupunguza muda wa kumtunza Rais ambae say alipata mamlaka aikiwa na miaka 30. Mungu akimjalia kuishi zaidi utamtunza kwa zaidi ya miaka 40. Zaidi yahapo kwakua nikijana anaweza akapata tamaa yakurudi tena madarakani kwa njia nyingine kama ya kuingia msituni, maana madaraka ni matamu.
Alexander
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 9, 2013 11:01 AM
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES!
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Lakini kuna utafiti wa kutosha kuwa kila mwajili humtafuta mtu mwenye uzoefu. Nataka kusema ni vizuri kupata muda wa kumpima mtu anayetaka kuwa Rais. Ni vizuri kumjua mtu kuwa kumbe angetufaa hata kabla ya kutimiza umri huo kuliko kujua kuwa tulimpa urais mapema. Sijui kama nimejieleza. Nchi zote zilizoendelea na zinazoendelea hakuna anayemkabidhi mtu asiye na uzoefu kuendesha kiwanda. Hutaka kujiridhisha kuwa huyu mtu anafaa kazi hii. Ni hatari kumkabidhi mtu uamiri jeshi mkuu ambaye ni short tempered. Ungeweza kuwa umemjua akiwa mbunge au waziri. Nawapongeza CHADEMA ila katika hilo nawarekebisha. --- On Tue, 1/8/13, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:
|
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment