Wednesday 9 January 2013

Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Mimi naamini mtoa hoja ana interests zake binafsi na Dr. Magufuli. Kwa nini Magufuli tu ndani ya baraza zima la mawaziri?

2013/1/9 mngonge <mngonge@gmail.com>
Nafikiri mtoa hoja anataka kujua Magufuli anakubalika vipi kisiasa kwa
watu wa kawaida kama sisi. Ni hoja inayoweza jadilika wala haina
tatizo. Binafsi nafikiri hakuna waziri ata mmoja aliyepo kwenye baraza
la mawaziri unayeweza kumtenganisha yeye na madudu yanayofanywa na
serikali ambayo yeye ni mjumbe. Kama ni dhambi basi mawaziri wote
waliokuwepo kwenye baraza la mawaziri enzi ya kuuza nyumba za serikali
kwa bei karibu na bure wote wanafaa kutundikwa msalabani.

Ni uamuzi wa kihuni na uroho kama vile wakitoka wao basi hapatakuwa na
viongozi wengine wa kushika nafasi mbalimbali serikalini. Kwa nini
hawakuziuza nyumba hizo kwa bei ya soko ya wakati ule? Na je kwa nini
zoezi lenyewe halikuwa wazi na kumruhusu kila mtanzania aingie kwenye
ushindani wa kununua nyumba hizo? Kama ni kweli ilikuwa gharama kwa
serikali kukaa na nyumba hizo? Kwa nini watu kama walimu na askari
magereza hawakupewa nafasi ya kununua nyumba za serikali walikokuwa
wanakaa?

Ukijibu maswali hayo utaona ni jinsi gani huwezi kumuondoa magufuli
kwenye kashifa hiyo.Ata kama aliyefanya utapeli huo ni Mkapa basi
tungewasikia wakijiuzulu kwa kutokubaliana na uamuzi huo. Kama
alikuwepo na hakujiuzulu basi zigo linamuhusu.

Baada ya Mkapa kumaliza kipindi chake cha urais, Magufuli alipoulizwa
kuhusu kugombea urais alijibu kwamba yeye hana mpango na urais badala
yake ataendelea na kitengo chake cha mabarambara. Kiasi cha kutufanya
watu tufikiri kwamba nafasi hiyo kaifanya ni ya urithi. Sijui leo hii
kama amekwishabadili uamuzi huo na kujitosa kwenye kinyanganyilo cha
urais. Well kama anataka ni juu yake kuamua na watanzania wakampima
kama anafaa au la. Kashifa ya kuuza nyumba inaweza isiwe kigezo cha
kumkataa maana inawezekana akagombea na mafisadi zaidi yake na hivyo
watu wakamuona anafaa ukilinganisha na wapinzani wake. Chini ya jua
kila jambo linawezekana

Katika siasa hakuna permanence yoyote leo waweza kuwa na jina kubwa
kesho ikawa kinyume. Pengine kupitia mtandao huu tutaweza kukadiria ni
kwa kiasi gani magufuli anakubalika. Karibu wanabidii tuijadili hoja
hii

2013/1/9 Fay Mashallah <fay.mashallah@gmail.com>:
> Kwani ukiwa waziri huruhusiwi kuwa na marafiki?
> Magufuli ni JEMBE.
>
> On Jan 9, 2013 11:40 AM, "RICHARD MGAMBA" <rmgamba2000@yahoo.com> wrote:
>>
>> Paul,
>> Watanzania baadhi yetu nadhani tuna matatizo ya kufikiri. Uamuzi wa kuuza
>> nyumba za serikali ulikuwa ni wa baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti,
>> Rais Benjamin Mkapa na katika baraza hilo walikuwemo akina Mh Jakaya Kikwete
>> na Edward Lowassa. Rais JK alinunua nyumba hizo pia.
>>
>> Sasa inakuwaje Magufuli ahukumiwe binafsi kwa uamuzi wa serikali na baraza
>> la mawaziri?
>>
>> From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Wednesday, January 9, 2013 11:35 AM
>> Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
>> Tanzania
>>
>> Mgamba
>> Watu wanataka kupre-empty na kuhukumu kama anafaa au hafai
>>
>> 2013/1/9 RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
>>
>> Kwa nini utake kujua Hatima yake leo? Kwani kama atagombea urais kupitia
>> chama chake cha CCM si ni haki yake kidemokrasia? Na kama ataamua kugombea
>> ubunge jimboni kwake yote ni haki yake kidemokrasia?
>>
>>  Kujuana na Raila Odinga ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za
>> Tanzania? Mara ngapi Magufuli akiwa waziri alimualika Odinga kwa shughuli za
>> kiserikali na binafsi hapa Tanzania na hakuna aliyekuwa na wasi wasi? Kwa
>> nini leo watu wawe na mchecheto na jambo hili kana kwamba ni uhaini?
>>
>> CCM  kama chama kina taratibu zake za kuwapata wagombea wa urais bara na
>> visiwani baada ya vetting, sasa nadhani tuwaache wenyewe wakati ukifika
>> tutamjua mgombea wa urais wa chama hicho, otherwise tunapoteza muda kuuliza
>> maswali juu na nini hatma ya Magufuli.
>>
>> From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>
>> To: Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com
>> " <wanabidii@googlegroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com "
>> <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> Sent: Wednesday, January 9, 2013 10:59 AM
>> Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
>> Tanzania
>>
>> Sir exactly what do you mean by "essence of maturation" Or it is just
>> another use of colourful vocabulary? Or it is just another use of colourful
>> vocabulary?</div>
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com>
>> Date: Wed, 9 Jan 2013 06:11:06
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>; <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> Subject: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
>> Tanzania
>>
>>
>> Wadau habari ya leo?
>> Napenda kujua nini hatima ya Dr. John Pombe Magufuli katika medai ya siasa
>> za Tanzania.
>> Dr. Magufuli alipata umaarufu na kujulikana kama mchapa kazi wakati wa
>> awamu ya pili ya Ben. Mkapa.
>> Akiwa kwenye peak ya kufanya kazi inayoonekana ya kusimamia ujenzi wa
>> barabara, kurejesha magari ya serikali yaliyokuwa yanamilikuwa na watumishi
>> wa umma kama yao na kulazimisha yasajiliwe kwa namba za serikali.
>>
>> Kutoka na nature ya kazi yake akafahamiana na Raila Odinga ambae alikuwa
>> waziri wa barabara Kenya. Raila anaogombea Urais wa Kenya na Magufuli
>> alikwenda Kenya kumnadi mbele ya wafuasi wa ODM.
>>
>> Magufuli ameuza nyumba za umma kwa bei bwerere, mwaka juzi jimboni kwake
>> alishinda kwa tofauti ya kura 30 huku sehemu za Buselesele na Mganza
>> akiambulia kura chache na kwa hasira alipopewa wizara ya ujenzi akawa ni mtu
>> wa kulipa kisasi kwa kubomoa nyumba nyingi za wafanya biashara zilizo katika
>> hifadhi ya barabara.
>>
>> 2015 Magufuli atagombea Urais kwa tiketi ya CCM au ataridi tena chato na
>> kugombea ubunge akijua kushinda na kushindwa ni 50 kwa hamsini?
>>
>>
>>
>>
>> Fred
>> MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of
>> Responsibility
>> Change is Essence to maturation
>>
>> --
>> Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
>> International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
>> International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment