Monday 3 December 2012

Re: [wanabidii] UTABIRI WANGU UMETIMIA - TANZANIA OYEEE!

Baelezee Matinyi!

Jana nilimfafanulia Meena na yeboyebo wenzake kuwa pamoja na kuwa na timu "nzuri" kwa sasa katika VPL tunakosa mchango wao katika timu ya taifa kwa kuwa wachezaji tegemeo wao ni wa kigeni. Wazalendo wameachwa kusugua benchi tuuuuuuuuuuuuuu


From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>; Mabadiliko <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Monday, December 3, 2012 6:44 PM
Subject: [wanabidii] UTABIRI WANGU UMETIMIA - TANZANIA OYEEE!

 
Wanamichezo Watanzania,
 
Juzi niliweka dodoso kwamba TANZANIA BARA itaingia nusu fainali kwa kuitoa Rwanda.
Kweli imefanya hivyo kwa ushindi wa mabao 2-0.
 
Nilitabiri pia kuwa TANZANIA ZANZIBAR nayo itaitoa Burundi.
Kweli imefanya hivyo kwa kuichapa kwa penalti 6-5.
 
Utabiri wangu bado unaendelea kwamba timu hizi za Tanzania zitacheza zenyewe kwenye fainali siku ya Jumamosi baada ya mambo yafuatayo kutokea:
 
TANZANIA BARA itacheza na mshindi kati ya Kenya na Malawi na itamfunga bila huruma kupitia kwa John Boko.
 
TANZANIA ZANZIBAR itacheza na mshindi kati ya wenyeji Uganda na Ethiopia na itashinda kwa penalti tena.
 
Washabiki wa Yanga tunaomba muwaambie wachezaji wenu waongeze juhudi kwenye timu zetu; ndiyo pekee wanaolegea viwanjani.
 
Tunaomba TFF nao wafanye hima ili Mbwana Samatta aje dimbani; waache kuwadekeza wapuuzi wa Kongo.
 
 
Matinyi.
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment