Jamani, tusiwe kama mwanamume mkorofi anayepiga na kufukuza mke wake lakini huyu mke akiolewa na mwanamume mwingine inakuwa taabu. Hii nadharia kwamba ACT imeanzishwa kwa lengo la 'divide' and 'rule' inabaki kuwa nadharia. Tulioanzisha ACT ni wahanga wa demokrasia katika vyama vya upinzani vilivyoanzishwa mara baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa. Tumepigania demokrasia ndani ya vyama tulivyokuwemo tulishindwa na hatimaye tukafukuzwa kama mbwa na kuitwa majina yote. Tulikuwa na hiari kadhaa: kukaa kimya tuwe wananchi tusio wanachama chochote, tujiunge na chama kingine au kuanzisha chama kingine. Tumechagua hiari ya tatu, kosa letu ni nini? Ni kujidanganya kudhani kwamba tutaitoa CCM madarakani kwa kuminya demokrasia na kuhakikisha kwamba vinabaki vyama hivyohivyo. Uhalisia wa mambo ni kwamba hatuna uwezo wa kuzuia wananchi kuanzisha vyama katika zama hizi za demokrasia. Wananchi sio wajinga watatupima kwa yale tuyasemayo na tuyatendayo na wao wataamua.
-- Vyama vilivyopo katika ulingo wa siasa nchini Kenya sio vilivyokuwepo mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi unaanza huko. Hali ni hiyohiyo nchini Zambia, Malawi, Nigeria, Ghana, n.k. Hii dhana kwamba chama fulani hapa Tanzania ndicho kilichoshushwa kuja kuleta ukombozi wakati viongozi wa chama hicho wanataka kutengeneza chama kingine dola kama ilivyo kwa CCM ni dhana potofu, kwa maoni yangu. Ni dhana potofu zaidi kudhani kwamba kila apinganaye na hiki chama teule ametumwa na CCM!!
Kitila
2015-03-23 13:50 GMT+03:00 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Urguably, this is purely a strategic divide and rule project! Ni tabu sana mtu akipata fedha nyingi na madaraka makubwa akiwa na umri mdogo. Tuendako, kwa tamaa hizi za vijana kupata madaraka na fedha nyingi kupitia shughuli za kisiasa, mabadiliko na maendeleo ya kweli nchini yatachelewa sana kuwafikia wananchi wengi. Ufukara utaendelea kuota mizizi miongoni mwa wengi. Tusubiri tuone utekelezaji wake wa project.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Mon, 3/23/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, March 23, 2015, 7:26 AM
Demokrasia
ya kweli nyumbani ndiyo demokrasia
gani?em
Sent from my
iPhone
On Mar 23,
2015, at 2:16 AM, "'leonard magwayega' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
F.
Kitigwa, hizo ni dua za kuku tu hazimfikii Mwewe. Mfa maji
haachi kutapatapa maana ukikosa demokrasia ya kweli nyumbani
kwako licha ya mke kukukimbia tegemea pia watoto
watakukimbia na mwisho utabaki peke yako katika nyumba yako
ili ujiongoze mwenyewe.Si hutaki sauti za watoto wako na
mkeo? Kama Chadema imekosa demokrasia kiasi cha kuzuia
wanachama kutoa changamoto dhidi yake mahakamani unategemea
nini kwa wanachama weledi? Nakuhakikishia huo ni mwanzo tu,
bado gharika inakuja kama siyo tsunami. Unaweza kudanganya
watu wachache tu tena kwa muda kidogo lakini huwezi
kudanganya watu wote kwa muda wote. CHADEMA inafuata nyayo
za CCM, kudanganya watu eti inahubiri demokrasia kumbe
hakuna demokrasia ndani yake na wala hakuna ushindani sawa
katika fursa za uongozi. Kuna clusters za uongozi eti mtu
fulani yeye ni lazima tu agombee uenyekiti miaka yote,
mwingine lazima awe yeye tu kwenye ukatibu, na uenyekiti ni
mtu na baba mkwe wake au kabila la huko juu tu. Akitokea
Kaburu wa huko au Wangwe wa kule ahh, hao ni wasaliti wa
chama.KILA
KITABU NA ZAMA ZAKE BWANA KITIGWA.Leonard
Elias Magwayega.
On Monday, March 23,
2015 7:13 AM, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com>
wrote:
gm,
This was a planned events
Nia na lengo ni kukidhoofisha chama
kimoja tu CHADEMA,
Fuatilia wanachama
wao wengi watatoka CHADEMA, zaidi ya hapo hawana nguvu tena,
na hii yote ni baada ya kuona uchaguzi wa mwaka huu
utawaendelea vibaya, CCM kwa siri sana wakaamua kumnunua
huyu kijana ili angalau awasaidie kukidhoofisha Chadema,
Mwisho wa mambo haya ni uchaguzi wa mwaka
huu, angalia namna ambayo atapewa shavu na serikali, kuanzia
ulinzi, mikutano na pesa ya kufanyia kampeni huku mikutano
ya UKAWA ikipingwa na serikali na kupigwa mabomu
Ila sikutegemea kama
hata huyu atakuwa mnafiki kiasi hicho, asubiri anguko lake
kama ilivyokuwa kwa Mrema NCCR and then TLP
On Sun, Mar 22, 2015 at
9:31 AM, gm <gm26may@gmail.com>
wrote:
bado najiuliza ina maana
asingefukuzwa Chadema asingejiunga na ACT au ilikuwa ni
perfect timing? Maana tetesi za yeye na ACT
zilianza mda mrefu sana
Sent from Samsung
Mobile
--------
Original message --------
From: Emma Kaaya
<emmakaaya@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE
AJIUNGA NA ACT TANZANIA
ZITTO KABWE
AJIUNGA NA ACT TANZANIA
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment