Thursday, 1 August 2013

[wanabidii] ZANU PF wadai kushinda Uchaguzi Mkuu wa Urais na Wabunge, Zimbabwe!

Kiongozi mwandamizi wa Chama Cha ZANU PF cha Rais Mugabe asema chama
chake kimeibuka mshindi wa uchaguzi wa rais na wabunge uliofanyika
hapo jana. Uchaguzi huo uligubikwa na Lundo la wizi wa kura kama
ilivyoripotiwa na MDC, chama cha Morgan Tsivangirai. Hata maeneo
ambayo ilikuwa ni ngome kuu ya MDC, Harare na Bulawayo, wagombea
ubunge wa Zanu Pf wameibuka kidedea. Somo kwa chadema; msibweteke
mkijua mtashinda 2015, ccm wamekaa kimya tu wakijua ni mbinu gani
watatumia 2015...kaeni macho!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment