Friday 30 August 2013

Re: [wanabidii] NAOMBA USHAURI: PUA ZA MTOTO ZINAOTA VINYAMA.

Magomeni namfahamu speciaist anaitwa Dr. Ole
ana hospitali yake kabisa.

Neema Wilson
P.O.Box 4784
Dar es salaam
Tel. + 255 754 694521.

--------------------------------------------
On Fri, 8/30/13, Steven Stey <parokostey@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] NAOMBA USHAURI: PUA ZA MTOTO ZINAOTA VINYAMA.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, August 30, 2013, 12:11 PM

Tatizo  lina tiba
 Hospitalini Muhimbili achana na maneno  mengi

2013/8/30 MaryGlady Heri
<mglady2@gmail.com>

Mtoto akamwone ENT specialist Ear,Nose and Throat
for biopsy ili kujua ni malignant au somethoming else. kuna
Dr Moshi ambae yuko Miuhimbili na mwingine yupo magomeni
sina uhakika ni sehemu gani lakini ngoja nikuulizie then
nitakuhabarisha leo kabla siku haijaisha ni Daktari anaitwa
Pallangyo ambae yuko Magomeni

2013/8/30 martin pius
<malagila01@yahoo.co.uk>

Asante sana Mwema Felix kwa ushauri
wako.

Ningependa kujua hospitali uliyokuwa unatumia kwa uchunguzi.
Kwa kuwa naelewa udhaifu wa hospitali nyingi pia.

Asante.

 Martin
Pius

P. O. Box
561, BABATI
Manyara

Tanzania
Mob: +255 78 447 4940 / +255
71 3474940

Email:malagila01@yahoo.co.uk

From: Mwema Felix
<mwema.felix@gmail.com>

To:
Mailing Lists <wanabidii@googlegroups.com>

Sent: Friday,
30 August 2013, 10:18
Subject: Re:
[wanabidii] NAOMBA USHAURI: PUA ZA MTOTO ZINAOTA VINYAMA.

Martin Pius 

Pole kwa kuuguliwa. Mpeleke mtoto wako hosipitalini
afanyie uchunguzi. Achana na habari za kusikia.

Kwakusikia tu utasikia
mengi. 

Ukiwahi kumpeleka mapema inawezekana hata tiba ya tatizo
alilonalo mtoto wako ikapatikana. 

Mimi nilikua nasumbuliwa sana na fizi. Fizi zilikuwa
zinafunika jino mara kwa mara. Watu walisema mengi ooh tumie
"nduli" sijui kile. Lakini tiba ni hosipitali
tu.

 Pia nilishawahi kusumbuliwa na
"kimeo" sana. Watu walisema oh dawa ni kukata tu!
Kumbe kimeo kilikua kinamea kutokana na sababu zingine.
Nilipotibu hiyo sababu, kimeo kiliacha kusumbua!

 Changamoto: na wewe mpeleke
mtoto akafanyiwe uchunguzi, yamkini kuna shida nyingine
inayolekea hizo nyama kuota puani kwa mwanao. Pole
sana.

2013/8/30 martin pius <malagila01@yahoo.co.uk>

Rafiki
wanabidii,

Mtoto
wangu mwenye umri wa miaka saba sasa, anapatwa na tatizo la
kuota vinyama ndani ya pua na vinamsumbua sana. Hali hii
nimesikia inawatokea watoto wengi siku hizi ila SIJUI NI KWA
SABABU GANI!!?? Ningependa kujua sababu inayoleta hilo
tatizo.

Pili, watu wengi wenye tatizo hili nimesikia
wanafanyiwa upasuaji kuondoa vinyama hivyo, lakini pia
nimejifunza kuwa huwa vinaota tena na hivyo upasuaji
hurudiwa tena. Wapo wanaosema pia, kuna tiba mbadala ambayo
aihitaji upasuaji. Ningependa kujua tiba hii mbadala na
uhakika wake kama kuna mtu anaifahamu kabla sijaenda kwenye
njia hii ya upasuaji.

Asante. Martin Pius

P. O. Box 561,
BABATI
Manyara

Tanzania
Mob: +255 78
447 4940 / +255 71
3474940

Email:malagila01@yahoo.co.uk

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment