Friday 30 August 2013

Re: [wanabidii] NAOMBA USHAURI: PUA ZA MTOTO ZINAOTA VINYAMA.

Asante sana Mwema Felix kwa ushauri wako.

Ningependa kujua hospitali uliyokuwa unatumia kwa uchunguzi. Kwa kuwa naelewa udhaifu wa hospitali nyingi pia.

Asante.

Martin Pius
P. O. Box 561, BABATI
Manyara
Tanzania
Mob: +255 78 447 4940 / +255 71 3474940
Email:malagila01@yahoo.co.uk

From: Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
To: Mailing Lists <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 30 August 2013, 10:18
Subject: Re: [wanabidii] NAOMBA USHAURI: PUA ZA MTOTO ZINAOTA VINYAMA.

Martin Pius
 
Pole kwa kuuguliwa.
 
Mpeleke mtoto wako hosipitalini afanyie uchunguzi. Achana na habari za kusikia.
Kwakusikia tu utasikia mengi.
 
Ukiwahi kumpeleka mapema inawezekana hata tiba ya tatizo alilonalo mtoto wako ikapatikana.
 
Mimi nilikua nasumbuliwa sana na fizi. Fizi zilikuwa zinafunika jino mara kwa mara. Watu walisema mengi ooh tumie "nduli" sijui kile. Lakini tiba ni hosipitali tu.
 
Pia nilishawahi kusumbuliwa na "kimeo" sana. Watu walisema oh dawa ni kukata tu! Kumbe kimeo kilikua kinamea kutokana na sababu zingine. Nilipotibu hiyo sababu, kimeo kiliacha kusumbua!
 
Changamoto: na wewe mpeleke mtoto akafanyiwe uchunguzi, yamkini kuna shida nyingine inayolekea hizo nyama kuota puani kwa mwanao. Pole sana.

2013/8/30 martin pius <malagila01@yahoo.co.uk>
Rafiki wanabidii,

Mtoto wangu mwenye umri wa miaka saba sasa, anapatwa na tatizo la kuota vinyama ndani ya pua na vinamsumbua sana. Hali hii nimesikia inawatokea watoto wengi siku hizi ila SIJUI NI KWA SABABU GANI!!?? Ningependa kujua sababu inayoleta hilo tatizo.

Pili, watu wengi wenye tatizo hili nimesikia wanafanyiwa upasuaji kuondoa vinyama hivyo, lakini pia nimejifunza kuwa huwa vinaota tena na hivyo upasuaji hurudiwa tena. Wapo wanaosema pia, kuna tiba mbadala ambayo aihitaji upasuaji. Ningependa kujua tiba hii mbadala na uhakika wake kama kuna mtu anaifahamu kabla sijaenda kwenye njia hii ya upasuaji.

Asante.
 
Martin Pius
P. O. Box 561, BABATI
Manyara
Tanzania
Mob: +255 78 447 4940 / +255 71 3474940
Email:malagila01@yahoo.co.uk
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment