Friday 30 August 2013

Re: [wanabidii] NAOMBA USHAURI: PUA ZA MTOTO ZINAOTA VINYAMA.

Kaka Pius,

Mimi siijui tiba mbadala, lakini kwenye hospitali ya KCMC iliyoko
MOshi, Kilimanjaro wapo watoto waliofanyiwa upasuaji huo wakapona
kabisa akiwemo mtoto wa mama yangu mdogo. Baada ya kufanyiwa akiwa na
miaka minne hajarudiwa tena na sasa yuko kidato cha kwanza. Hebu nawe
mpeleke hapo kwa rehema za Mungu atapona. Usiogope.

Flora W.




On 8/30/13, martin pius <malagila01@yahoo.co.uk> wrote:
> Rafiki wanabidii,
>
> Mtoto wangu mwenye umri wa miaka saba sasa, anapatwa na tatizo la kuota
> vinyama ndani ya pua na vinamsumbua sana. Hali hii nimesikia inawatokea
> watoto wengi siku hizi ila SIJUI NI KWA SABABU GANI!!?? Ningependa kujua
> sababu inayoleta hilo tatizo.
>
> Pili, watu wengi wenye tatizo hili nimesikia wanafanyiwa upasuaji kuondoa
> vinyama hivyo, lakini pia nimejifunza kuwa huwa vinaota tena na hivyo
> upasuaji hurudiwa tena. Wapo wanaosema pia, kuna tiba mbadala ambayo
> aihitaji upasuaji. Ningependa kujua tiba hii mbadala na uhakika wake kama
> kuna mtu anaifahamu kabla sijaenda kwenye njia hii ya upasuaji.
>
> Asante.
>
>
> Martin Pius
> P. O. Box 561, BABATI
> Manyara
> Tanzania
> Mob: +255 78 447 4940 / +255 71 3474940
> Email:malagila01@yahoo.co.uk
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment