Saturday 31 August 2013

Re: [wanabidii] NAOMBA USHAURI: PUA ZA MTOTO ZINAOTA VINYAMA.

Hospitali ya doctor Ekenywa iliyopo magomeni mikumi D'salaam inatoa tiba ya ugonjwa huu,
--------------------------------------------
On Fri, 30/8/13, Flora wingia <fwingia@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] NAOMBA USHAURI: PUA ZA MTOTO ZINAOTA VINYAMA.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 30 August, 2013, 12:44

Kaka Pius,

Mimi siijui tiba mbadala, lakini kwenye hospitali ya KCMC
iliyoko
MOshi, Kilimanjaro wapo watoto waliofanyiwa upasuaji huo
wakapona
kabisa akiwemo mtoto wa mama yangu mdogo. Baada ya kufanyiwa
akiwa na
miaka minne hajarudiwa tena na sasa yuko kidato cha kwanza.
Hebu nawe
mpeleke hapo kwa rehema za Mungu atapona. Usiogope.

Flora W.




On 8/30/13, martin pius <malagila01@yahoo.co.uk>
wrote:
> Rafiki wanabidii,
>
> Mtoto wangu mwenye umri wa miaka saba sasa, anapatwa na
tatizo la kuota
> vinyama ndani ya pua na vinamsumbua sana. Hali hii
nimesikia inawatokea
> watoto wengi siku hizi ila SIJUI NI KWA SABABU GANI!!??
Ningependa kujua
> sababu inayoleta hilo tatizo.
>
> Pili, watu wengi wenye tatizo hili nimesikia
wanafanyiwa upasuaji kuondoa
> vinyama hivyo, lakini pia nimejifunza kuwa huwa vinaota
tena na hivyo
> upasuaji hurudiwa tena. Wapo wanaosema pia, kuna tiba
mbadala ambayo
> aihitaji upasuaji. Ningependa kujua tiba hii mbadala na
uhakika wake kama
> kuna mtu anaifahamu kabla sijaenda kwenye njia hii ya
upasuaji.
>
> Asante.
>
>
> Martin Pius
> P. O. Box 561, BABATI
> Manyara
> Tanzania
> Mob: +255 78 447 4940 / +255 71 3474940
> Email:malagila01@yahoo.co.uk
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment