Thursday 29 August 2013

Re: [wanabidii] Re: Fw: Adam CV

Lily,

Avoid ambiguity, hujasema unataka kusaidiwa nini? Yona your assessment is 100% wrong. Sio lazima uweke majina zaidi ya 2, hii cv ni fupi.

Lutinwa

2013/8/29 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
Nimeangalia hiyo CV kwa ufupi nina machache ya kusema .

1 - Kwanza hajaweka majina yake yote ameweka 2 tu 

2 - Chini kabisa hiyo CV haina sahihi ili kuthibitisha kama maelezo hayo ni sahihi au la .

3- Nimeona kwenye software ameandika AUTOCAD - Hii ni Program iliyogawanyika sana mfano civil , electrical , revit alitakiwa aseme haswa zipi .

4 - Kwenye Lugha hajasema anaongea kwa kiasi gani 

5 - CV Inatakiwa kuwa fupi na inayoeleweka bila kuwa na Mbwembwe nyingi .

Mwambie apige 0784666094 , 0719259885 hao ni watu 2 tofauti awaambie tu Jina Langu .

Nawatakia mafanikio

On Thursday, August 29, 2013 2:36:49 PM UTC+3, lily fungamtama wrote:

Ndugu zangu wanabidii. Tafadhali mwenye nafasi/kujaaliwa tafadhani anisaidie kwenye CV attached.

Pokeeni shukrani zangu za awali

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment