Friday 30 August 2013

Re: [wanabidii] Re: Castory CV

Mara nyingi Mr Yona kijana anapotoa chuo au shule kilicho rahisi kwake ni kuajiriwa , pindi akikaa muda mrefu hajaajiriwa ndipo huanza kubuni mambo mengine na kukutana na wengine ambao nao hawakuajiriwa. Wengine huanza kwa kuajiriwa then wakipata kianzio wanaingi  katika kujiajiri. Tuwasaidie pale wanapohitaji na tuendelee kuwashauri katika wazo hilo la kujiajiri

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 30 August 2013, 13:31
Subject: Re: [wanabidii] Re: Castory CV

Halafu tusiwasisitizie kuajiriwa tu wakati mwingine unaweza kujiajiri kwa mtaji mdogo na kuendelea au unaweza kutumia fursa hiyo kujitolea kwenye maeneo yanayohusu fani yako utajijengea uzoefu na kujiamini zaidi .

2013/8/30 malosha zephania edward <emalosha84@yahoo.co.uk>

Katika suala zima la kusaidia vijana ebu tuangalie CV hii na kama kuna mahala pa kumpeleka tufanye hivyo kwani yupo hajapata Ajira na  hapo alipo yupo temporary maana local NGO tunazifahamu nyingi hazina fedha za kuwaajiri.
Naamini wanabidii watafanyia kazi an au kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi

From: Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
To: Mailing Lists <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 30 August 2013, 10:21
Subject: Re: [wanabidii] Re: Fw: Adam CV

Lily,
 
Yona ametoa namba za simu hapo juu. Amesema mwambie huyo kijana apige tu simu ataje jina la "Yona Maro".
 
Ninaimani ameshapata kazi huyo.
 
Kila la heri.

2013/8/30 Lily Fungamtama <lilyfungamtama@airtanzania.com>
Lutinwa,
 You are right!  Huyu kijana ni kati ya wanafunzi waliomaliza vyuo recently wanaopita maofisini kutafuta kazi, tena anasema kazi yoyote. Basi nikamuomba anipe CV yake nijaribu kuituma kwa wadau, maana katika Wanabidii kuna fani tofauti, hivyo INAWEZEKANA kupata msaada wa ushauri etc etc.
 
Infact anahitaji kazi – ajira preferably ya fani yake naona ni either Municipal Engineer or Industrial Engineer.
Hata hivyo asante sana kwa msaada wa mchango wa marekebisho nitaforward kwake.
 
Asante sana.
Lily
 
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Lushengo Lutinwa
Sent: Friday, August 30, 2013 8:49 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Fw: Adam CV
 
Lily,
 
Avoid ambiguity, hujasema unataka kusaidiwa nini? Yona your assessment is 100% wrong. Sio lazima uweke majina zaidi ya 2, hii cv ni fupi.
 
Lutinwa
 
2013/8/29 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
Nimeangalia hiyo CV kwa ufupi nina machache ya kusema .
 
1 - Kwanza hajaweka majina yake yote ameweka 2 tu 
 
2 - Chini kabisa hiyo CV haina sahihi ili kuthibitisha kama maelezo hayo ni sahihi au la .
 
3- Nimeona kwenye software ameandika AUTOCAD - Hii ni Program iliyogawanyika sana mfano civil , electrical , revit alitakiwa aseme haswa zipi .
 
4 - Kwenye Lugha hajasema anaongea kwa kiasi gani 
 
5 - CV Inatakiwa kuwa fupi na inayoeleweka bila kuwa na Mbwembwe nyingi .
 
Mwambie apige 0784666094 , 0719259885 hao ni watu 2 tofauti awaambie tu Jina Langu .
 
Nawatakia mafanikio

On Thursday, August 29, 2013 2:36:49 PM UTC+3, lily fungamtama wrote:
 
Ndugu zangu wanabidii. Tafadhali mwenye nafasi/kujaaliwa tafadhani anisaidie kwenye CV attached.

Pokeeni shukrani zangu za awali
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment