Vita haiepukiki kamwe. Kila vita inakuja kwa sababu. Katika familia kuna vita yake, katika kazi kuna vita yake. Yaani kila sehemu kuna vita tofauti yake huwa ni matokeo yake. Majeruhi wanaweza kuwa wanao, jirani, wafanyakazi wenzio, nchi ya jirani au hata marafiki wako wapendwa. La.msingi ni kuangalia nini kitatokea iwapo sitapigana vita na si kuangalia nini kitaatokea iwapo nitapigana vita. Mtizamo kama huu hukuwezesha kuiangalia kwa makini na kwa kutafakari jamii unayotaka kupigana nayo na athari zinazoweza kutokea kuliko ile ya kuangalia uwezo wako kijeshi au kimadaraka uliyonayo unayoweza kuyatumia kukandamiza wenzio. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Augustine Rukoma <rukomapekee@gmail.com>;
To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>;
Cc: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Neno La Leo; Chagua Vita Vyako...
Sent: Thu, Aug 29, 2013 5:19:51 AM
Ai apply kwa kila vita. Mfano tukiishinda ccm na vka perform tunaongeza marafi. Tukimshinda kagame wakongo na wahutu ambao ni wengi kweli wanakuwa marafiki zetu On 8/29/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote: > Ndugu zangu, > > Maishani kuna kushinda na kushindwa. Hata hivyo, ushindi una gharama. Siku > zote, mwanadamu jiandae na gharama ya ushindi. > > Maana, ushindi waweza kuwa ghali mno. Ndio, unaweza kupambana ukashinda, > lakini, gharama ya ushindi yaweza kuwa jamaa na marafiki wa wote > uliowashinda, kuwa watageuka kuwa maadui zako. Yawezekana watakuwa maadui > kwako kwa muda mrefu tu. Watakukasirikia. Watafanya yote nawe upate > maumivu. > > Hivyo, mwanadamu usifikiri tu gharama ya kushindwa, fikiri pia gharama ya > ushindi. Na wakati mwingine, ni gharama inayostahili kulipwa. Franklin > Roosevelt alikuwa Rais wa zamani wa Marekani, huyu alifahamu faida na > hasara za kuwa na maadui. > > Waliompinga katika sera zake za kiuchumi aliwaita " Watiifu wa Kiuchumi". > Na akasema; wamejiunga kwa pamoja kunichukia, na nakaribisha chuki zao > kwangu! > > Ndio, kama unapigana vita ya muhimu. Na kama vita hivyo vyaweza vikawa vya > kushinda (winnable). Na kwamba umejiandaa kulipa gharama ya chuki ya muda > mrefu ya utakaowashinda, basi, ingia vitani. Na kama la, basi, tafuta > suluhu. Itafute meza ya majadiliano. > > Swali ni hili; utafikiaje uamuzi wa ama kuingia vitani au la? > > Miaka mingi iliyopita alitokea Mfalme wa Epilus aliyeitwa Pyrrhic. > > Mfalme huyu aliamua kuingia vitani kulikabili jeshi kubwa na lenye nguvu > nyingi. Ni jeshi la Warumi. Lakini, kabla ya Mfalme kuingia baharini na > vikosi vyake ili kuitafuta Italia ya Warumi, msaidizi wake wa karibu, > Cineas, aliomba mazungumzo ya faragha na Mfalme. Alitaka kumwuliza maswali > na kumshauri. Cineas alimtamkia Mfalme; > > " E bwana Mfalme, Warumi wanasadikika kuwa na jeshi kubwa , lenye nguvu na > lenye mashujaa wengi. Ndio maana wameteka nchi nyingi. > > Je, Mungu akitusaidia, tukaja kuwashinda Warumi, tutafanya nini na ushindi > wetu? Mfalme akajibu: > > " Mbona hilo ni swali jepesi sana. Mara ile tukiwashinda Warumi, > hakutatokea jeshi kutoka mji wowote wa Italia litakaloweza kupambana nasi." > Cineas alitulia kidogo, kisha akamwuliza Mfalme: > > " Tukishaikamata Italia ya Warumi, kipi kitafuatia?" Mfalme akajibu: > > " Sicily ni kisiwa chenye hazina za thamani kubwa, itakuwa rahisi sana > kukiteka kisiwa hicho." Cineas aliendelea kuuliza: > > " Bwana Mfalme, unaongea juu ya mambo ya kusadikika, lakini una maana > kukitwaa kisiwa cha Sicily kutakuwa na maana ya kukoma kwa vita?" Mfalme > akajibu: > > "Hapo tutakuwa tumeikaribia Afrika. Na tukishaikamata Afrika ni nani hapa > duniani atathubutu kutukabili kivita?" > > "Hakuna" Alijibu Cineas, kisha akauliza; > > " Na baada ya hapo tutafanya nini?" > > Mpaka hapo Mfalme hakujua Cineas alikuwa anampeleka wapi kwa lojiki ya > kifikra. Mfalme akajibu: > > "Baada ya hapo, tutapumzika, tutakula raha. Tutakula na kunywa. Tutabaki > tukichekeshana na kucheka, siku nzima." > > " Kama ni hivyo, alisema Cineas; " Ni kitu gani kinachotuzuia kufanya hayo > yote sasa bila kwenda vitani? > > Mfalme hakuielewa mantiki ya Cineas. Akakaidi ushauri. Akavipeleka vikosi > vyake kupambana na Warumi. > > Baada ya vita ngumu, jeshi la mfalme liliwashinda Warumi. Hata hivyo, > lilipata hasara kubwa ya kupoteza watu na kuwa na majeruhi wengi. Jeshi > lake likadhohofika sana. Likajaribu kuitwaa Sparta, likashindwa vibaya > sana. Mfalme aliwindwa na hatimaye akakakamatwa kama kuku. Akauawa kwa > kupigwa mawe kwenye mitaa ya Argos. > > Naam, chagua vita vyako. > > Ni Neno La Leo. > > Maggid, > > Iringa. > > -- > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'. > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com > > Kujiondoa Tuma Email kwenda; > mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako. > > TEMBELEA Facebook yetu: > http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl > > For more options, visit this group at: > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en > --- > You received this message because you are subscribed to the Google Groups > "Mabadiliko Forums" group. > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an > email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com. > To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com. > Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania. > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. > -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment