Thursday, 1 August 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] ZANU PF wadai kushinda Uchaguzi Mkuu wa Urais na Wabunge, Zimbabwe!

Boniface,

Huyo Tsvangirai aachane na siasa mpaka Mugabe afe, yeye ni kama  Maalimu Seif, kufanya kosa la kushiriki serikali ya umoja wa kitaifa na baadae kugombea ili kuwa rais si jambo rahisi, wamuulize Raila kule Kenya!!!

wa Simbeye





From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, August 1, 2013 1:05 PM
Subject: [Mabadiliko] ZANU PF wadai kushinda Uchaguzi Mkuu wa Urais na Wabunge, Zimbabwe!

Kiongozi mwandamizi wa Chama Cha ZANU PF cha Rais Mugabe asema chama
chake kimeibuka mshindi wa uchaguzi wa rais na wabunge uliofanyika
hapo jana. Uchaguzi huo uligubikwa na Lundo la wizi wa kura kama
ilivyoripotiwa na MDC, chama cha Morgan Tsivangirai. Hata maeneo
ambayo ilikuwa ni ngome kuu ya MDC, Harare na Bulawayo, wagombea
ubunge wa Zanu Pf wameibuka kidedea. Somo kwa chadema; msibweteke
mkijua mtashinda 2015, ccm wamekaa kimya tu wakijua ni mbinu gani
watatumia 2015...kaeni macho!

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.

TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



0 comments:

Post a Comment