Chadema wakae macho wewe ulle? Hii ni kazi ya kila mtu
On 8/1/13, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:
> Kiongozi mwandamizi wa Chama Cha ZANU PF cha Rais Mugabe asema chama
> chake kimeibuka mshindi wa uchaguzi wa rais na wabunge uliofanyika
> hapo jana. Uchaguzi huo uligubikwa na Lundo la wizi wa kura kama
> ilivyoripotiwa na MDC, chama cha Morgan Tsivangirai. Hata maeneo
> ambayo ilikuwa ni ngome kuu ya MDC, Harare na Bulawayo, wagombea
> ubunge wa Zanu Pf wameibuka kidedea. Somo kwa chadema; msibweteke
> mkijua mtashinda 2015, ccm wamekaa kimya tu wakijua ni mbinu gani
> watatumia 2015...kaeni macho!
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment