Kwa upande wa CHADEMA wajenge mtandao wa chama nchi nzima na angalau wawe na wanachama hai walioandikishwa na ambo wako tayari kupiga kura zaidi ya mil 10 nchi nzima .
Kwa takwimu nilizozipata siku za karibuni zinasema CHADEMA inawanachama wa kuandikishwa chini ya mil m2 tena wengi wako maeneo fulani fulani tu , wakati chama DUME kina wanachama hai zaidi ya mil 8 na matawi yaliyotapakaa kila mtaa , kila wilaya na kila kijiji .
Hapa hakuna kuibiwa wala nini , nyie jengeni mtandao mpana wa wanachama wenu na wapiga kura halafu muueleze uma kile mtakachofanya kwa taifa hili sio kila siku CCM tu .
2013/8/1 LINGONET Lindi <lingonetlindi@yahoo.co.uk>
Wandugu
kisichoeleweka hapo ni kuwa mugabe hatakiwi na wazungu sio wazimbabwe,kura zinapigwa zimbabwe wenyewe wanamtaka kwani wanaona anasimamia maslahi yao na kuwa furusha wazungu na tsivangirai kwa wazimbabwe ni kama msaliti na kibaraka wa wazungu kwa hiyo hawezi kushinda mbele ya mugabe anaeonekana ni mkombozi wao
--------------------------------------------
On Thu, 1/8/13, Finnigan wa Simbeye <f_simbeye@yahoo.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] ZANU PF wadai kushinda Uchaguzi Mkuu wa Urais na Wabunge, Zimbabwe!
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 1 August, 2013, 11:08
Boniface,
Huyo Tsvangirai aachane na siasa mpaka Mugabe afe, yeye ni
kama Maalimu Seif, kufanya kosa la kushiriki serikali
ya umoja wa kitaifa na baadae kugombea ili kuwa rais si
jambo rahisi, wamuulize Raila kule Kenya!!!
wa Simbeye
From: Boniface
Magessa <magessabm@gmail.com>
To:
mabadilikotanzania@googlegroups.com;
wanabidii@googlegroups.com
Sent:
Thursday, August 1, 2013
1:05 PM
Subject:
[Mabadiliko] ZANU PF wadai kushinda Uchaguzi Mkuu wa Urais
na Wabunge, Zimbabwe!
Kiongozi mwandamizi wa Chama Cha ZANU PF cha Rais Mugabe
asema chama
chake kimeibuka mshindi wa uchaguzi wa rais na wabunge
uliofanyika
hapo jana. Uchaguzi huo uligubikwa na Lundo la wizi wa kura
kama
ilivyoripotiwa na MDC, chama cha Morgan Tsivangirai. Hata
maeneo
ambayo ilikuwa ni ngome kuu ya MDC, Harare na Bulawayo,
wagombea
ubunge wa Zanu Pf wameibuka kidedea. Somo kwa chadema;
msibweteke
mkijua mtashinda 2015, ccm wamekaa kimya tu wakijua ni mbinu
gani
watatumia 2015...kaeni macho!
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment