Saturday, 8 October 2016

Re: [wanabidii] Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Unapokwenda Kutoa Hotuba..(1)

Mjengwa.
Hii link imenikomeshea mjiani. Sikuona document husika.
--------------------------------------------
On Fri, 10/7/16, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Unapokwenda Kutoa Hotuba..(1)
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, Wanazuoni@yahoogroups.com, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 7, 2016, 11:23 PM


Ndugu zangu,Kuna walioniomba nirejee mada
kuhusu sanaa ya kuzungumza mbele ya hadhara . Bila shaka,
sababu kuu ni ukweli, wengi tunapata tabu sana kila
tunapotakiwa kuongea hadharani.Kwa vile hata waliozaliwa na vipaji vya kuongea
hadharani na kuvuta watu wanahitaji kujifunza zaidi, basi,
hata asiye na kipaji, anaweza kujifunza na akawa mzungumzaji
mzuri mwenye kuvutia hadhira yake.Leo nitazungumzia kile kilicho muhimu kabisa kwa mtu
anayehutubia. Kinaitwa ' actio' kwa Kigiriki.Actio inahusu zaidi kinachoonekana
kwa nje na hadhira ama wasikilizaji pale mzungumzaji
anapokuwa akihutubia...Soma zaidi..http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/28117-mambo-muhimu-ya-kuzingatia-unapokwenda-kutoa-hotuba-1.html--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment