Thursday 27 October 2016

Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

Kakuru

Asante Kwa kuchangia.  I think nitachukua sehemu ya mchango wako huu kama input katika utafiti Wangu.

Umeonyesha the real positive side of mapacha. Kuna negative pia kama nilivyouliza hapo mwanzo.  Can you share with us?

On Oct 27, 2016 10:46 AM, "Ireneus Kakuru Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Nitaomba niwe sehemu ya mada hii. Mimi ni pacha na ndio maana naitwa Kakuru..niko na dada yangu anaitwa Nyakato (Regional UWT Secretary in one of the lake zone regions). Bahati mbaya tunafunga kizazi au ni vitinda mimba kwa mama yetu ma Nyinabarongo. Ninasema Bahati mbaya sababu tulikuwa na wadogo zetu wengine (mapacha pia) lakini Mungu aliwapenda zaidi so hawakusurvive baada ya kuzaliwa. Ninampeda dada yangu beyond imagination. Hata anapokuwa huku kizazi au kifamilia, hawezi kulala kwa ndugu yeyote Zaidi ya nyumbani kwangu. huko ataembea tu na kurudi,  iko hivyo na itakuwa hivyo kama tuko hai. Kila mmoja anaelewa na ameridhika na Hakuna anayepinga.

Katika vitu ambavyo ninamuomba mwenyezi Mungu usiku na mchana ni kunipatia watoto mapacha na niko confident kwamba nitawapata. Dada zangu mama zangu Shangazi zangu wote wana mapacha.

Taking my personal experience, mapacha ni Baraka, nimezingatia namna ambavyo tumekuwa treated tangu tunazaliwa mapaka leo. Kila mmoja wetu anatupenda na tumejikuta tumekuwa kama kiunganisha cha familia yetu. Utamaduni na mila zipo kuhusiana na mapacha jinsi ya kuwahandle. Nakumbuka nilikuwa siwezi kufanyiwa kitu peke yngu au dada peke yake. Nilipotoroka kwenda shule (Baada ya kukataliwa kuwa bado umri wangu ulikuwa hauruhusu) test Fulani ya kusoma insha I think I was by then, nikapitishwa kuanza darasa la kwanza, automatically hata dada akaanzishwa kwa vile tulikuwa hatuwezi kufanya chochote tofauti. So tukajikuta tuko wanne ndani ya darasa moja from same family wawili wakiwa kaka zetu.

Mapacha ni wazuri, wanapendwa, na wanapendana sana; na kila mmoja angependa azae mapacha. Ninaweza kwenda Zaidi kusema kuwa hata kina mama when they know you are one, wanajisikia kuwa na wewe kwa expectation kuwa wanaweza kupata mapacha, kwanini? Sababu mapacha ni Baraka, na kwa usawa huu ambapo watu wanahitaji kuzaa fasta na kuanza kulea, watu wengi wamekuwa wakiprefer mapacha sababu unapata zaidi ya mtoto mmoja kwa mara moja!

Baada ya mada hii, nafikiria kupropose tuanzishe Umoja wetu sisi wote tuliozaliwa mapacha!

Naomba nishirikishwe kwenye utafiti huu pia.

Kakuru

Omukunirwa Ireneus 

2016-10-27 6:37 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Naisubir kwa hamu naandaa miwani ya kuisomea
--------------------------------------------
On Wed, 10/26/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?
 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, October 26, 2016, 10:20 PM

 Muhingo
 Nimefanya utafiti.  Nitakushirikisha pa kupata
 report yangu
 On Oct 26, 2016 9:56 PM,
 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Pamoja na
 hayo yote lakini ni muhimu pia kuweka wazi kuwa mila za
 Buhaya hakuna inayoona mapacha kama laana au balaa. Na kwa
 kweli nimetembesa karibu nchi zote za Africa Mashariki
 sikumbuki kusikia hilo. Mapacha mara nyingi wametumika
 kuondoa migogoro katika familia kama ilikuwepo..

 Mnajua wadau kuna notion ya kudhaalilisha mila zetu.
 Tunaapokea mila za hovyo kutoka nje na haziguswi kwa
 visingizio mbalimbali. Inapofika zetu tunazidhalilisha. Ni
 muhimu jambo hili kuwa wazi katika mjadala huu-HAKUNA MILA
 YA BUHAYA INAYOWAONA MAPACHA KAMA BALAA WALA MIKOSI.
 Anayejua tofauti afafanue tujue.

 Muhingo

 ------------------------------ --------------

 On Wed, 10/26/16, 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Wednesday, October 26, 2016, 4:00 PM

  Nipo mkoa wa Mtwara. Nimeshuhudia wanawake

  wakikimbiwa na waume sababu ya kuzaa

  mapacha. 

  Darasa zito linatakiwa katika jamii kuondokana na

  mwono huu. Naunga mkono Bwana Dominick kuwa Mapacha ni

  baraka ya pekee kwa familia. Mbona si hivyo kwa wote.

  Mapacha ni neema. Na wakilelewa vizuri wanaleta
 mapinduri

  makubwa katika familia. Nimeshughudia

  hayo. 

    From: 'Dominick

  Rukokelwa' via Wanabidii

  <wanabidii@googlegroups.com>

   To:

  "wanabidii@googlegroups.com"

  <wanabidii@googlegroups.com>;

  "wanabidii@googlegroups.com"

  <wanabidii@googlegroups.com>

   Sent: Wednesday,

  October 26, 2016 1:00 AM

   Subject: Re:

  [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

  Hakika

  watoto mapacha hawana ubaya wowote na hawana uhusiano
 wowote

  na mabalaa au majanga. MUNGU anapokupa watoto mapacha
 anajua

  ndani yako kuna uwezo mkubwa wa kuwatunza. Ukiona
 unataabika

  kuwatunza ujue kuna mahali umezembea ila ndani yako upo

  uwezo usiotumika(dormant power). Mapacha ni baraka ndani
 ya

  baraka. Ukiona baraka unapata baraka. Ukiona laana na
 mikosi

  unapata laana na mikosi. Hata mtoto mmoja ukitaka awe
 mkosi

  anakuwa. Kwa maana MUNGU aliviumba vitu vyote ili
 vipate

  kuwako na nguvu za uzazi zilizomo ulimwenguni ni za
 kuleta

  siha wala hakuna ndani yake sumu yoyote ya uharibifu.

  Senaili

  from Yahoo Mail on Android

     On

  Tue, Oct 25, 2016 at 12:58, 'ELISA MUHINGO' via

  Wanabidii<wanabidii@
 googlegroups.com>

  wrote:   Kamala wacha kabisa

  kujidanganya na kudanganya watu.

  Mimi

  nilizaliwa saa nane usiku wa kuamkia 5 September 1952.

  Nimezaliwa Bukoba na kukulia Bukoba mpaka shule
 zilipoanza

  kunitoa. katika familia yetu kumezaliwa mapacha.. Haya

  unayoyasema kiasi cha kuomba msaada wa kuzuia mapacha

  kunyanyapaliwa ni jambo jipya kulisikia. Ni Buhaya gani
 hiyo

  ambayo unaileta hapa? Una umri gani ambao huenda hayo

  yalikuwepo kabla yangu. Nimezaliwa kiziba na kutembea
 maeneo

  mengi ya Buhaya. Nina maana na Karagwe ambayo siku hizo

  ilikuwa sehemu ya wilaya ya Bukoba.

  Unahitaji kufanya kazi kudhibitisha maneno yako

  au omba mssamaha haraka

  ------------------------------ --------------

  On Tue, 10/25/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>

  wrote:

   Subject:

  [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

  To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

   Date: Tuesday, October 25, 2016, 5:41 AM

   ---------- Forwarded

   message ----------

   From:

  "J L Kamala" <jlkamala@gmail.com>

  Date: Oct 25, 2016 05:38

   Subject: Mapacha n

  Laana, mikosi?

   To: "Wanazuoni"

  <Wanazuoni@yahoogroups.com>

   Cc:

   Wakuu

  nimekuwa nikizitafakali jamii Za mkoa wa

  kagera na haswa wahaya.  Jamii hii inachukulia
 kuzaliwa

  kwa

   mapacha ktk familia Kama laana fulani

  au mikosi tena mibaya

   inayoweza kuleta

  balaa isipotambikiwa vyema.

   Moja wapo ya

  mabalaa ni Yale majanga ya asili

   kama vile

  ukame, vimbunga, kukosa mvua na hata tetemeko la

   ardhi

   Wazee wa mkoa huu

  wanasisitiza kuwepo Kwa

   umakini wa hali ya

  juu ili mapacha wasilete Tabu kama vile

  kuugua ugonjwa WA ngozi ujulikanao kama viligo yaan mtu

   anakuwa kama albino fulani

  Hii kwa vyovyte inapelekea kunyanyapaliwa kwa

   mapacha.  Je kuna maoni yapi au uhakika Juu

  ya hili?  Nini

   kifanyike kusaidia watu

  hawa ambao yawezekana wanauwawa au

  kubaguliwa kimyakimya?

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata

  Email ya

   kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences

  of his or her postings, and hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

   continued membership signifies that you agree

  to this

   disclaimer and pledge to abide by

  our Rules and Guidelines.

  ---

   You received this

  message because you are subscribed to the

  Google Groups "Wanabidii" group.

   To unsubscribe from this group and stop

  receiving emails

   from it, send an email to

  wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

   For more options, visit

  https://groups.google.com/d/
 optout.

  --

  Send

  Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata

  Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to

  this Forum bears the sole responsibility for any legal

  consequences of his or her postings, and hence
 statements

  and facts must be presented responsibly. Your continued

  membership signifies that you agree to this disclaimer
 and

  pledge to abide by our Rules and Guidelines.

  ---

  You received this message

  because you are subscribed to the Google Groups

  "Wanabidii" group.

  To unsubscribe

  from this group and stop receiving emails from it, send
 an

  email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

  For more options, visit

  https://groups.google.com/d/
 optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/

 googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment