Wednesday, 26 October 2016

Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

Pamoja na hayo yote lakini ni muhimu pia kuweka wazi kuwa mila za Buhaya hakuna inayoona mapacha kama laana au balaa. Na kwa kweli nimetembesa karibu nchi zote za Africa Mashariki sikumbuki kusikia hilo. Mapacha mara nyingi wametumika kuondoa migogoro katika familia kama ilikuwepo..
Mnajua wadau kuna notion ya kudhaalilisha mila zetu. Tunaapokea mila za hovyo kutoka nje na haziguswi kwa visingizio mbalimbali. Inapofika zetu tunazidhalilisha. Ni muhimu jambo hili kuwa wazi katika mjadala huu-HAKUNA MILA YA BUHAYA INAYOWAONA MAPACHA KAMA BALAA WALA MIKOSI. Anayejua tofauti afafanue tujue.
Muhingo
--------------------------------------------
On Wed, 10/26/16, 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 26, 2016, 4:00 PM

Nipo mkoa wa Mtwara. Nimeshuhudia wanawake
wakikimbiwa na waume sababu ya kuzaa
mapacha. 
Darasa zito linatakiwa katika jamii kuondokana na
mwono huu. Naunga mkono Bwana Dominick kuwa Mapacha ni
baraka ya pekee kwa familia. Mbona si hivyo kwa wote.
Mapacha ni neema. Na wakilelewa vizuri wanaleta mapinduri
makubwa katika familia. Nimeshughudia
hayo. 


From: 'Dominick
Rukokelwa' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>;
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday,
October 26, 2016 1:00 AM
Subject: Re:
[wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?


Hakika
watoto mapacha hawana ubaya wowote na hawana uhusiano wowote
na mabalaa au majanga. MUNGU anapokupa watoto mapacha anajua
ndani yako kuna uwezo mkubwa wa kuwatunza. Ukiona unataabika
kuwatunza ujue kuna mahali umezembea ila ndani yako upo
uwezo usiotumika(dormant power). Mapacha ni baraka ndani ya
baraka. Ukiona baraka unapata baraka. Ukiona laana na mikosi
unapata laana na mikosi. Hata mtoto mmoja ukitaka awe mkosi
anakuwa. Kwa maana MUNGU aliviumba vitu vyote ili vipate
kuwako na nguvu za uzazi zilizomo ulimwenguni ni za kuleta
siha wala hakuna ndani yake sumu yoyote ya uharibifu.
Senaili
from Yahoo Mail on Android
On
Tue, Oct 25, 2016 at 12:58, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
wrote: Kamala wacha kabisa
kujidanganya na kudanganya watu.
Mimi
nilizaliwa saa nane usiku wa kuamkia 5 September 1952.
Nimezaliwa Bukoba na kukulia Bukoba mpaka shule zilipoanza
kunitoa. katika familia yetu kumezaliwa mapacha.. Haya
unayoyasema kiasi cha kuomba msaada wa kuzuia mapacha
kunyanyapaliwa ni jambo jipya kulisikia. Ni Buhaya gani hiyo
ambayo unaileta hapa? Una umri gani ambao huenda hayo
yalikuwepo kabla yangu. Nimezaliwa kiziba na kutembea maeneo
mengi ya Buhaya. Nina maana na Karagwe ambayo siku hizo
ilikuwa sehemu ya wilaya ya Bukoba.
Unahitaji kufanya kazi kudhibitisha maneno yako
au omba mssamaha haraka
--------------------------------------------
On Tue, 10/25/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
wrote:

Subject:
[wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, October 25, 2016, 5:41 AM

---------- Forwarded
message ----------
From:
"J L Kamala" <jlkamala@gmail.com>

Date: Oct 25, 2016 05:38
Subject: Mapacha n
Laana, mikosi?
To: "Wanazuoni"
<Wanazuoni@yahoogroups.com>
Cc:

Wakuu
nimekuwa nikizitafakali jamii Za mkoa wa

kagera na haswa wahaya.  Jamii hii inachukulia kuzaliwa
kwa
mapacha ktk familia Kama laana fulani
au mikosi tena mibaya
inayoweza kuleta
balaa isipotambikiwa vyema.
Moja wapo ya
mabalaa ni Yale majanga ya asili
kama vile
ukame, vimbunga, kukosa mvua na hata tetemeko la
ardhi
Wazee wa mkoa huu
wanasisitiza kuwepo Kwa
umakini wa hali ya
juu ili mapacha wasilete Tabu kama vile

kuugua ugonjwa WA ngozi ujulikanao kama viligo yaan mtu
anakuwa kama albino fulani

Hii kwa vyovyte inapelekea kunyanyapaliwa kwa
mapacha.  Je kuna maoni yapi au uhakika Juu
ya hili?  Nini
kifanyike kusaidia watu
hawa ambao yawezekana wanauwawa au

kubaguliwa kimyakimya?

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com


 


Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment