Tuesday, 25 October 2016

Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

Hakika watoto mapacha hawana ubaya wowote na hawana uhusiano wowote na mabalaa au majanga. MUNGU anapokupa watoto mapacha anajua ndani yako kuna uwezo mkubwa wa kuwatunza. Ukiona unataabika kuwatunza ujue kuna mahali umezembea ila ndani yako upo uwezo usiotumika(dormant power). Mapacha ni baraka ndani ya baraka. Ukiona baraka unapata baraka. Ukiona laana na mikosi unapata laana na mikosi. Hata mtoto mmoja ukitaka awe mkosi anakuwa. Kwa maana MUNGU aliviumba vitu vyote ili vipate kuwako na nguvu za uzazi zilizomo ulimwenguni ni za kuleta siha wala hakuna ndani yake sumu yoyote ya uharibifu.

On Tue, Oct 25, 2016 at 12:58, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kamala wacha kabisa kujidanganya na kudanganya watu.
Mimi nilizaliwa saa nane usiku wa kuamkia 5 September 1952. Nimezaliwa Bukoba na kukulia Bukoba mpaka shule zilipoanza kunitoa. katika familia yetu kumezaliwa mapacha.. Haya unayoyasema kiasi cha kuomba msaada wa kuzuia mapacha kunyanyapaliwa ni jambo jipya kulisikia. Ni Buhaya gani hiyo ambayo unaileta hapa? Una umri gani ambao huenda hayo yalikuwepo kabla yangu. Nimezaliwa kiziba na kutembea maeneo mengi ya Buhaya. Nina maana na Karagwe ambayo siku hizo ilikuwa sehemu ya wilaya ya Bukoba.
Unahitaji kufanya kazi kudhibitisha maneno yako au omba mssamaha haraka
--------------------------------------------
On Tue, 10/25/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, October 25, 2016, 5:41 AM

---------- Forwarded
message ----------
From: "J L Kamala" <jlkamala@gmail.com>
Date: Oct 25, 2016 05:38
Subject: Mapacha n Laana, mikosi?
To: "Wanazuoni" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Cc:

Wakuu nimekuwa nikizitafakali jamii Za mkoa wa
kagera na haswa wahaya.  Jamii hii inachukulia kuzaliwa kwa
mapacha ktk familia Kama laana fulani au mikosi tena mibaya
inayoweza kuleta balaa isipotambikiwa vyema.
Moja wapo ya mabalaa ni Yale majanga ya asili
kama vile ukame, vimbunga, kukosa mvua na hata tetemeko la
ardhi
Wazee wa mkoa huu wanasisitiza kuwepo Kwa
umakini wa hali ya juu ili mapacha wasilete Tabu kama vile
kuugua ugonjwa WA ngozi ujulikanao kama viligo yaan mtu
anakuwa kama albino fulani
Hii kwa vyovyte inapelekea kunyanyapaliwa kwa
mapacha.  Je kuna maoni yapi au uhakika Juu ya hili?  Nini
kifanyike kusaidia watu hawa ambao yawezekana wanauwawa au
kubaguliwa kimyakimya?
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment