Monday, 24 October 2016

[wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?

---------- Forwarded message ----------
From: "J L Kamala" <jlkamala@gmail.com>
Date: Oct 25, 2016 05:38
Subject: Mapacha n Laana, mikosi?
To: "Wanazuoni" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Cc:

Wakuu nimekuwa nikizitafakali jamii Za mkoa wa kagera na haswa wahaya.  Jamii hii inachukulia kuzaliwa kwa mapacha ktk familia Kama laana fulani au mikosi tena mibaya inayoweza kuleta balaa isipotambikiwa vyema.

Moja wapo ya mabalaa ni Yale majanga ya asili kama vile ukame, vimbunga, kukosa mvua na hata tetemeko la ardhi

Wazee wa mkoa huu wanasisitiza kuwepo Kwa umakini wa hali ya juu ili mapacha wasilete Tabu kama vile kuugua ugonjwa WA ngozi ujulikanao kama viligo yaan mtu anakuwa kama albino fulani

Hii kwa vyovyte inapelekea kunyanyapaliwa kwa mapacha.  Je kuna maoni yapi au uhakika Juu ya hili?  Nini kifanyike kusaidia watu hawa ambao yawezekana wanauwawa au kubaguliwa kimyakimya?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment