Sunday 30 October 2016

[wanabidii] RE: [Mabadiliko] TIGO HUU NI UZEMBE AU WIZI?

Hii ilinitokea last month kila siku nikawa naambiwa saa24 hadi zikapita siku 7 ndio nikaenda online kwenye page Yao ya fb wakasort out right on the spot

From: Joseph Ludovick
Sent: ‎10/‎30/‎2016 13:52
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
Subject: [Mabadiliko] TIGO HUU NI UZEMBE AU WIZI?

Nilituma kimakosa fedha kutoka TIGO kwenda M PESA. Mhudumu wa TIGO akaniambia fedha zingelirudishwa ndani ya Masaa 72. Ajabu tangu tar 19 octoba mpaka LEO, Masaa 72 kwenye SAA za TIGO, hayajafika. Kinachoudhi ni kuwa nimeuliza na kuuliza bila msaada wowote.
Nimeamua hata kwenda Voda wamenisaidia na kukuta fedha haikuingia kwenye namba niliyokosea kuitumia! Lakini Tigo wamekomaa eti hela ilienda Voda! Sasa maana yake hamna mpango wa kurudisha hela yangu? Maana Nina uhakika haikwenda huko ilikokosea njia! 
Ama hata vitu kidogo kama hivi viwe vinamalizikia mahakamani? Tigo mjirekebishe haraka.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at https://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6Qg%2BR28To6c7HWM0Vaa5A3-bAvJHTo7k375OkXH9L9Xfow%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment