Tuesday, 25 October 2016

Re: [wanabidii] CCM WAMPONGEZA ZITTO KABWE KWA KUIVURUGA CHADEMA

On Monday, 2 December 2013 11:01:15 UTC+3, Abdalah Hamis wrote:
> "Tarehe 20 November 2013 watu wasiojulikana walipost mawasiliano ya email yaliyodaiwa kuwa ni mawasiliano ya email yaliyonaswa kati ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM mhe Mwigulu Nchemba na Mimi. 
>
>
>
> Tukidaiwa kula njama za kumsaidia Mhe zitto Kabwe.
>
>
> Nililipuuza jambo hilo kwa sababu niliamini kila mwenye akili timamu atajua mawasiliano hayo ni ya kughushi. Lakini kutokana na wanachi wengi kutaka kujua kama yana Ukweli nimelazimika kusema kifupi.
>
>
>
> KWANZA mimi na mwigulu hatujawahi kuwasiliana kwa Email katika maisha yetu.
>
>
> PILI wenye chuki na mhe ZITTO sio lazima watumie email za kughushi ambazo zinachafua wasiohusika kwasababu tu ya wao kuitaka Shingo ya mhe Zitto.
>
>
>
> TATU tunachukua hatua za kisheria ili waliohusika na kughushi email hizo na wanaozisambaza wafikishwe kwenye kwenye vyombo vya sheria ili Kukomesha tabia hii ambayo imeanza kuota mizizi."
>
>
>
> Emmanuel John Nchimbi.
>
>
>
> 2013/11/26 Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com>
>
>
> Hawa watu kiukweli wanakiondolea heshima chama cha mapinduzi na hata hao waheshimiwa kama wamesupport huu upuuzi basi ninawasikitikia na kujisikitikia kuwa washika dola wetu wako that cheap
>
>
>
>
>
>
>
> 2013/11/25 Bariki Mwasaga <bmwa...@gmail.com>
>
>
>
> Makosa ya kijinga ya kisarufi yananifanya niendelee kuona hii thread imeanzishwa na wapuuzi fulani. Kipindi tulichopo wabunge, mawaziri na wengineo walioko katika nafasi mbalimbali kama hawajatumia tablet basi wametumia smartphone na bahati nzuri kabisa huwa zinaonesha ujumbe umetoka wapi ila emails hizi utagundua ni za kupitia kwenye internet cafe tu. Ukisoma ujumbe uliomo kwenye hizi email utaona kuna makosa ambayo yapo wazi tu. Hivi kweli hawa jamaa hawajui herufi ndogo na kubwa? badala ya halafu aandike alafu kweli duh? kulikuwa na haja gani ya kusema upande wa pili na kuongeza (cdm)? lockup inaandikwa rockup...nadhani inaandikwa nazan......wananifata badala ya wananifuata? tuzungumze  mengine ila hii thread imeleta emails ambazo zimeandikwa tena na watoto wa Dar kwa sababu kuna weakness kubwa kwenye matumizi ya lugha ya Kiswahili hususan cha kuandika na kuongea kuna hilo tatizo kama linavyodhihirika kwenye hizi emails
>
>
>
>
>
>
>
> 2013/11/25 Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com>
>
>
>
>
> Upuuzi mwingine bwana basi CCM wanahisi wakiweka hizi email watatukamata kiraisi pelekeni upuuzi wenu huko. kama Chadema wana matatizo yao ni ya kwao watayamaliza ndani ya nyumba yao
>
>
>
>
>
>
>
> 2013/11/23 Pauline Mengi <paulin...@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
> Subject: Fw: kazi nzuri
> Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
> From: " Mwigulu Nchemba " <shim...@gmail.com> >
>
>
>
>
> To: "Emmanuel Nchimbi" < nchi...@yahoo.com >
>
>
> On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shim...@gmail.com> wrote: 
>
>
>
>
>
>
> sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde 
>
>
> MN 
>
>
> 2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchi...@yahoo.com
>
>
>
>
>
>
> bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma 
>
>
>
>
>
>
> Sent from my ipad 
>
>
> On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shim...@gmail.com> wrote: 
>
>
>
>
>
>
> Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni 
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387

kwa hakika zitto alijikaanga Mwenyewe kwa kauli hizi

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment