Sunday, 23 October 2016

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Museveni Analipenda Ua La Boga( Winnie), Analichukia Boga ( Besigye)...!

Bwana Bernado: sisi sote ni wana CCM wazuri tu, naona umenitaja harakaharaka - kwa hiyo nami nitasema harakaharaka kuwa sikukuona. I met and talked with Chambi and Charles and Sulle and Mhe. Zitto and 2 or 3 other Zuoni colleagues. I took a photo with Mr. Mzee "Transparent" Cooksey and flashed it out. You, where!

Naam, nilikaa counter niking'ata Safari ("Asili yake Tanzania") lakini sikumbuki kama kuna mtu alinipa offer wallahi nisingekataa. Are you sure ulitoa offer? Nikakataa? Mie?

I listened to the Professor's presentation up until he began analysing Marx's critique of Marxism when I had to leave for a prior engagement

Turudi mada kuu. Winnie simjui, wala Kalinaki, ila Mu7 namjua na Bessigye ingawa wao hawanijui.

Nina kitabu cha mustard seed pamoja na cha Martha Honey kuhusu vita vya Kagera, najua mavituz yake katika capture na destruction ya Mbarara - alikuwa "embedded" kwenye Task Force ya Mtimkavu.

Turudi mada kuu. I would be happy to attempt a translation of Professor Coulson's work. I can speak English fairly well, na Kiswahili changu sanifu ukianzia kuwa nimesoma Tanga na kuishi Daresalama miaka alfu.

Most importantly, I am a money man and understand our political economy well. I am no activist, to be quite sure, but I'm ex-Marxist myself, having been a member of the CPGB for the 2 years I was active in NUS politics in London.

In other words, and to keep a short story short, I think I have the capacity to do it. What I'm worried about is time - I have a standing invitation from Kiongozi to translate the late Pope's "CROSSING THE THRESSHOLD OF HOPE") and to finish my own manuscript "JIBWA LA WA BASKERVILLE" of Sir Arthur Conan Doyle's classic.

Tutafutane upenuni tuone kama tunaweza tukapenyeza kazi hii muhimu.

George


On 21 Oct 2016 04:02, "bernard baha bahabp2003@yahoo.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
 

Mwenyekiti Maggid,

Leo nilihudhuria mhadhara pale SOMA Professor Coulson ameomba kama kuna Mtanzania aweza tusaidia basi kutafsiri kwa Kiswahili kitabu chake Tanzania: A Political Economy yupo tayari kushirikiana nae kwa gharama ndogo sana awe tayari tu kusoma ABC za nadharia ya siasa uchumi aka political economy. Binafsi nasikia vibaya sana kuona uko busy na mambo haya ya akina M7, KB na Winnie, duh na Kalinaki hapa umemweka pia, safi. Ila mie sijui mambo yanayotusonga hapa mengi Tanzania, tuna GMOs debate hapa, tuna masuala ya sera hapa mambo ya ardhi nk tunakaribia badilisha, na kilimo chetu kipo njia panda, ama wewe ukipitia yale ma tikiti maji, nyanya waona poa kuyapata yalivyo?na waweza dai lumbesa pia ukaijaza ile cruza yako! Hivi Wanazuoni sawa labda tungependa hizo story za namna hiyo wanasiasa wetu hawa nani hafanyi hiyo mambo....juzi Magufuli alivyotaja rafiki yake hapa yakazuka maneno, kwa nini kasema hivyo mkweli naye yale yale ama? haya ya kawaida sana kwingineko, hivi hakuna ile dhana ya moving on? 

Niseme kitu kimoja nimekisoma facebook  mtu hajasoma hata Sowing the Mustard Seed lol wewe kipanga wake unajua mambo kibao, mara Kalinaki hahahaha wewe hatari,  leo hii hata Coulson mwenyewe kapewa makavu  ingawa ni mjadala wa reflection yangu si hapa baadae.  Bahati nzuri wewe unatafsiri tu ingawa hata husemi authors na mitizamo yao na limitations na wewe unaweka pia hisia na tafsiri zako pia, ambayo si sahihi na hata waandishi wote hao kwasababu wanaandika matukio yanayohusu watu hai inakuwa ishu. Majuzi nilisema kwasababu ya baadhi ya maeneo ya Sowing the Mustard Seed kitabu kinahitaji reviews, na wadau wengine wali launch version kupinga baadhi ya stories, kazi sasa ukiwatafsiria wabongo hapa na hata hayo wayasema ni sahihi si sahihi kwanini usishangiliwe?

Baada ya hapa  naomba niendelee kuku udhi kuna mengi Uganda ungeweza tuletea basi ya manufaa sip haya ninayoyasoma hapa. Ok tutajadili nini? M7, KB, Winnie? M7 anamwonea KB kisa girl friend? khaaaaa....nina jamaa nilitambulishwa baadae nikaambiwa aaaah wale wale, aliwahi sema ati hamna ishu ya ku debate hawa ugomvi wao ni mwanamke! Hivi ndio unataka kutwambia pia hapa na kutuaminisha? hii sio insult kwa harakati za siasa na demokrasia Uganda? na kutuaminisha kwamba siasa za Uganda zipo hivyo na hakuna mambo ya msingi kabisa ya kudai haki na kwamba yes wakati wa uchaguzi mambo yalikuwa ndivyo sivyo?

Niseme mawili ukileta Wanazuoni bila shaka unatarajia tusome, tufurahi na labda tukasirike pia, huu mjadala dhaifu sana kwa viwango na uelewa na utendaji kazi wako Mwenyekiti Maggid....Maggid una mambo ya muhimu ya nchi kutushirikisha sio haya labda kwingineko yafaa naambiwa blog nayo ni business siku hizi?Sasa wewe wapost uliyosoma kuna walioishi na M7, Winnie, KB na wanajua hizo story more than you know ila wewe hapa watulisha sie wa Tz?  Yawezekana kusema Baha achana na hizi story na wewe post za kwako basi....YES ninazo na ni tofauti na version yako lakini je ni sahihi?

Tunapita kipindi kigumu, labda katika historia yetu, haya tayari tuna habari ya kuanza kuandikia, LGF atatuanzia alinikimbia wakati najiandaa kwenda kumpa HI, nilimwona kaunta pale SOMA ila sikukiona kinywaji halisi alikuwa anapata! Hahahahahahahah. Kulikuwa na stori ya uandike ukiwa na hasira ama ukiwa sober....nadhani Professor Adolf Mascarenhas alikuwa sahihi andika ukiwa na hasira. Na hasira zangu ni Maggid ana mengi ya kutufaidisha sio haya anayotupa hapa, sina taabu kwingineko ila kwa kariba ya Zuoni sidhani kama tunataka ku debate maamuzi ya watu wazima kisa kwa sababu ni wanasiasa. Tujadili sera zao yatosha labda? na kama maisha yao binafsi yanaathiri utendaji na lazima iwe public sawa yawekwe hadharani.

B.BFrom: "Maggid Mjengwa mjengwamaggid@gmail.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; Wanazuoni@yahoogroups.com; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, October 20, 2016 10:02 PM
Subject: [Wanazuoni] Museveni Analipenda Ua La Boga( Winnie), Analichukia Boga ( Besigye)...!

 
Ndugu zangu, 
Mvuto kwenye kisa cha Yoweri , Winnie na Kiiza unatokana na ukweli, kuwa Yoweri Museveni hakuitarajia adhabu ya yeye ' kulisaliti' pendo la Winnie kwake iwe kwa Winnie kutembea na Kizza Besigye, rafiki wa zamani wa Yoweri Museveni.
Juzi tuliona jinsi Winnie alivyoingia kwenye maisha ya Museveni.
Kiukweli, Museveni wa sasa bado anaonyesha kumpenda Winnie, lakini... Soma zaidi..


__._,_.___

Posted by: bernard baha <bahabp2003@yahoo.com>
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (2)

Have you tried the highest rated email app?
With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the highest rated email app on the market. What are you waiting for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook, AOL and more) in one place. Never delete an email again with 1000GB of free cloud storage.


.

__,_._,___

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment